Emmanuel Adebayor's Transfer hic-cups!

....aaaarrggghh humtakii nini kwani? Adebayor hakosi goli :D !

Mbona nyie mmemuachia kama hakosi goli? Mr. Bean atamkosa sana na yeye pia muondoeni au mnamuogopa?
Nimeshazoea Adebayor anachezea Arsenal..itakuwa kazi kumzoea kama anakuja manure bwana!..
 
....aaaarrggghh humtakii nini kwani? Adebayor hakosi goli :D I can't imagine Ade akim partner Berbatov duuuuh, si uvivu huo... Eqlypz, Belo, Nziku, Saikosisi mpoooooo?!
Hailekei kabsaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
 
Mbona nyie mmemuachia kama hakosi goli? Mr. Bean atamkosa sana na yeye pia muondoeni au mnamuogopa?
Nimeshazoea Adebayor anachezea Arsenal..itakuwa kazi kumzoea kama anakuja manure bwana!..

...aarghh BJ, Ade kawakosea nini jamani? mpeni muda mtamzoea tu...
 
Football transfer rumours: Emmanuel Adebayor to Manchester United?

HABARI ZILIZOTUFIKA KWAMBA TAYARI EDABAYO ANAMPANGO KWA KWENDA MAN U.
Kaka heading haijatulia Adebayor kaenda Man City and sio Man United.Asanteni kwa kunisikiliza
 
...aarghh BJ, Ade kawakosea nini jamani? mpeni muda mtamzoea tu...

Mbu..
Kuna mahali inakuwa hamna jinsi wala uwezo..wakimtwaa na wamtwae,
pole pole tutamzoea kama atajiunga chini ya Fergie.
Manure fans wengine sijui wanalionaje hili?!
 
Adebayor atamkumbuka wenger. kishaanza kutapatapa asubuhi asubuhi. Namkubali wenger kwa philosophy yake kuwa wako kina kaka , ronaldo fabregas,na adebayor wengi tu tatizo ni kuwa wengine hawasemwi na hawajulikani. zaidi ya hapowenger anakuambia mchezo wa mpira ni wa wachezaji 11 sio mmoja. kwa nini moja ajione bora zaidi kuliko wenzake na alipwe mara tatu zaidi ya mwenzake. kama anafunga goli aju kuna mwemzake anazuia magoli yasifungwe.
 
Adebayor akija Man U atanyooka, si unajua Fergie alivyo kama hajakukalisha benchi basi ujue utachezea sana viatu mkiwa kwenye locker room muulizeni Beckham. Adebayor ni striker mzuri sema ni mvivu na Arsene Wenger alikuwa anamtreat na kids glove muda wote.
 
kwanza mnajua adebayo ana miaka mingapi-- nasemea miaka yake real sio ya kwenye makaratasi.
 
The Togolese passed a medical and had a work permit granted yesterday, according to reports, but was also this morning apparently having second thoughts, as he worried that the move might be percieved as greedy back in his homeland.

eti anajifikiria, ...kumbe anaona haya eeh? na bado!
 
Man City wameshikilia uskani kwa hiyo wataendesha makubaliano wanavyotaka wao na hiyo STG 170K kwa wiki hawako tayari kumpa, kwa hiyo agent na adebayor wanaanza kucheza game ya seconds thoughts and blah blah lakini ki ukweli ukweli wanataka.
 
Hatumtakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Kwanza fagie aliisema hasajilitena wanamtosha aliochuku
 
Man City wameshikilia uskani kwa hiyo wataendesha makubaliano wanavyotaka wao na hiyo STG 170K kwa wiki hawako tayari kumpa, kwa hiyo agent na adebayor wanaanza kucheza game ya seconds thoughts and blah blah lakini ki ukweli ukweli wanataka.

...Imagine! majuzi tu alikuwa anapokea kitita cha £80,000 kwa wiki, leo hii anaambiwa £150,000 hataki, eti aongezewe £20,000 zaidi... kaaaazi kweli kweli wallahi!

Sheikh Mansour Bin Zayed Al Nahyan kaleta vituko kweli midlands!
 
Adebayor atamkumbuka wenger. kishaanza kutapatapa asubuhi asubuhi. Namkubali wenger kwa philosophy yake kuwa wako kina kaka , ronaldo fabregas,na adebayor wengi tu tatizo ni kuwa wengine hawasemwi na hawajulikani. zaidi ya hapowenger anakuambia mchezo wa mpira ni wa wachezaji 11 sio mmoja. kwa nini moja ajione bora zaidi kuliko wenzake na alipwe mara tatu zaidi ya mwenzake. kama anafunga goli aju kuna mwemzake anazuia magoli yasifungwe.
Iko hivi,E.Adebayor siyo kwamba ameanza kutapatapa bali ni kutokana na shinikizo la mashabiki wa ARS hasa wale waliopo UK baada ya ARS kutolewa katika UCL na Man-U siku iliyofuatia baada ya second leg pale Emirates stadium mashabiki walipeleka malalamiko katika Club wakidai hawamtaki Adebayor katika timu.Na baada ya siku mbili AW akamuweka Adebayor ubaoni kwa thamani ya paundi million 25 na baadaye Cesc 40 hakuna kujadili.AW alisema lengo ni kuimarisha kikosi.
 
Manchester United kamwe haiwezi kumchukua mchezaji kama E Adebayor.Arsenal wanajaribu kuitumia Manchester United ili kuhakikisha thamani ya Adebayor inaendelea kupanda sokoni.

Hivi mnadhani Adebayor ni mjinga kiasi cha kutaka kujiunga na mashetani wekundu,wachezaji kama Tevez wamekula benchi itakuja kuwa Adebayor anayepata nafasi kumi za kufunga anatumia moja ohoo give me a break.Wenger anajua atakuwa na kazi kubwa kumuuza Adebayor kwa pound 25 milioni ili aweze kupata fedha za kununua wachezaji wengine watakao weza kuisaidia Arsenal msimu huu.Hakuna timu itakayoweza kutoa kiasi kikubwa cha fedha kwa mchezaji mvivu kama Adebayor ni Man City tu ndiyo inamwaga fedha hovyo bila kuangalia thamani halisi ya mchezaji.

Adebayor akienda timu kama Manchester City atamaliza mpira kabisa kwasababu Arsenal alikuwa akipata mipira mingi lakini kila mara alishindwa kufunga si rahisi kwa Adebayor kuendelea kupata nafasi kama hizo akiwa na Man City hasa tukiangalia aina ya wachezaji viuongo walioko Arsenal na Man City.
 
sir alex kakataa hiyo..agent wa adebayor ndo alitaka man wamchukue kwa kuwapa offer hiyo..lkn sir alex kawamwaga..
 
Inasemekana Adebayor kagwaya kwenda Man City baada ya kuona kutakuwa na vita ya namba kati yake na Robinho,Tevez,Santa Cruz na Bellamy (kama hatahama).Wenger naye nasikia kamtolea nje kamwambia nje kamwambia atafute timu vinginevyo benchi.hayo ndo mambo ya ma supa staa!
 
At the same time tulijadili hili pia; What the hell AW is thinking/doing?, asa hivi timu yenu Ya Z Gonaz itabakia na nani?, 'coz hata sisikii mki-sajili mtu wa maana so far.

As am a Manutd fan , Ade hatufai, hata kwa bure hatumtaki.
 
Nasikitika sana mashabiki wa Arsenal wanambebesha lawama Adebayor kuwa ndio anawakosesha Ubingwa mbona kina Walcot,Bertnder wanakosa magoli kila siku ,nafikiri sio wakati muafaka kwa Arsenal kumuuza Ade huyo Wenger kila season anauza wachezaji muhimu naamini hata Fabregas huenda huu ukawa msimu wa mwisho
 
Back
Top Bottom