Embu wakuu tieni neno hapa

Embu wakuu tieni neno hapa

Mle mkuu, hiyo k.u.m.a ni ya mwanamke si ya huyo mume wake,why ailinde huyo mwanaume wakati ni ya mwanamke? Kula mwanawane.
 
Wake wa watu wamekuwa wepesi mpaka inaogopesha
Upweke mkuu, mwanaume na mwanamke tunatofautiana sana namna ya kufikiri kuhusu familia na ndoa.

Wanawake hudhani ule ukaribu wako kipindi cha uchumba au unamfukuzia ndivyo utavyokua ndoani kumbe sivyo wewe Me ndoani utawaza sana kutafuta ulishe familia, ule uromantic unapungua mno mno.
Ucheshi unapungua, story zinapungua, muda wa kua nae unapungua na kama ni mama wa nyumbani ndo kabisaaaa, kwiisha.
 
Big up sana mkuu am done
hongera sana mkuu. Mke wa mtu ni roho mkononi kuna muuza maziwa huku kakatwa mapanga walimvizia, anatoka kutembeza maziwa.

Asee kichwan walimuharibu kama buchani.

Maneno yawatu yanavuma chanzo ni mke wa mtu, alionywa mara kadhaa na mwenye mke ila akajikuta ndume.
 
Gentlemens woz-up?

Ipo hivi kuna mke wa mtu tulikutana tumezoea na kuanza mahusiano ya kimapenzi japo hatukuwai kutana kimwili hata siku moja .

Kwa maana anadai mme wake yupo nae anamchunga sana hivyo kutoka inakuwa kipengele kwake .

Sasa mimi nimeona isiwe case tuachane tu make nitakuwa nimeepuka mengi kuliko kuwa nae kwenye mahusiano na kusubili upenyo( nafasi) nipewe mbususu nichakate nimeamua kujitoa huko.


Au wakuu ninyi mnasemaje hapo?
Jambo jema maana jamaa angejua nawe ungenepewa kizembe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom