Funga novena aachike.Namwoje ajaachika
Ni wazo tu kiongoziIgnored
Kweli mkuu mazoea hayafai kabsa na wanawake walio olewa .Boys, tujitahidi mno kujiepusha na wake za watu
em chukulia umejua mke wako ameliwa na mtu fulani, utafeel vp?
Mm nikishajua huyu n mke wa mtu, Siwez kuzoea nae kwa lolote, mana hata mazoea ya kawaida tuu Ndo muelekeo wa kuja kutembelea nae
Kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuziUmeamua ujitoe sababu upenyo umekosekana🤔 ila dhamira yako vipi?
Dhamira ndio mahakama ya kweli.
Hii inaonyesha ushapiga 😂
Sikupiga mkuuHii inaonyesha ushapiga 😂
Nke ya mnu sumuWe chapa pumb.u ,acha kununia papuchi
pole sana mkuu walikufanyajeNikikumbuka n shawah lala ndan kwa ajil ya wake za watu Sina ham.