Embu mnijuze mliowahi kufika na kuishi Rwanda, Zambia

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,871
Wadau naomba m-share experience yenu ambao mm bahatika kufika na kuishi katika nchi hizi mbili Rwanda / Zambia

Napenda kufahamu mfumo wao wa maisha, mazingira ya kufanya biashara, social interaction na wageni ipoje.

Karibuni wapendwa.
 
Nizungumzie Rwanda, maisha kule ni ghali, mfumo wa ufanyaji biashara ni mgumu maana umekuwa centralized yaani kuanzisha kabiashara kadogo tu hadi makao makuu ya nchi wajue, ni mountainous country, ina wanawake warembo, pia wapo juu kwa usafi.
 
Zambia ni sehemu sahihi ya kufanya biashara Watanzania wengi wapo miji mikubwa wewe nenda upande wa solwezi karibu na Angola kule kuna machimbo na mzunguko wa pesa upo ila akikisha passport ipo sawa maana uhamiaji wa Zambia kwenye hilo wapo makini mno kuliko vitu vingine...sehemu hizo unaenda na nauli na hela ya kukaa siku chache tuu ukiona fursa unaagiza watu waliokuepo daslm wananunua bidha unatumiwa wao Kodi sio kizungumkuti kama Puerto Rico...
 
H

Hapa zambia mimi naingia bila passport
 
Back
Top Bottom