Email kuhusu Rais wa Tz

SMU

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
9,616
7,863
Nimetumiwa sms na mtu wangu wa karibu (anafanya kazi serikalini):

"XXXXXX, ukifowadiwa email yyt inayomuhusu rais wa tz pse dont forward it to any one kuna watu imewagharimu kwenda selo kulala. take it vry serious. XXXX u!"

Kuna mtu amepata onyo kama hili au amekuwa implicated kuhusiana na email hizo? Lina ukweli kiasi gani? Ni email kuhusu nini au ni just email kuhusu rais?
 
Nakutuma kawaambie nimefowadia watu 78 ile picha anayobembea, huku watanzania wakila mihogo. Pia wafikishie taarifa kuwa nasubiri tu kipenga, nigawe knuckles za pua kwake, na marafikize!!:sick:
 
Childish warning!...

Ni sheria gani inayombana mtu asifowadi email zake?
Kwanini asitafutwe aliyeoriginate?...Hii ni njama ya kubana vyombo vya habari na Teknology kama walivyofanya huko Egypt, japo PEOPLES POWER imewaonyesha kuwa hawawezi kitu!..

Dawa ni huyo rais kuacha mambo ya usanii, na si kuwatisha wanaosema baada ya yeye kutenda!,...
TUNAENDA KUBAYA HUKU SASA!
 
Nimekuona mitaa fulani halafu ukasepa baada ya kuona nondo zilivyopigiliwa. Habari za masiku malenga wangu.

Mie sioni tatizo pia mtu kufowadi e mail zake ila tatizo linakuja kwenye contents za hiyo e mail. Kama ikiwa kuna maneno yasiyofaa au picha chafu za kutengeneza mie sikuungi mkono. Fahamu kumfanyia mtu jambo ovu unatakiwa ufikirie je akifanyiwa mtu wako baba yako, mjomba wako, dada yako, mama yako au wewe utajisikiaje?

Ukiona hutafurahia basi na huyo muhusika mnaemjadili hapa kwa majina mengi mengi mengi yakiwa ya kuchukiza hatapenda pia. Sidhani kuna mtu anapendwa aitwe kwa majina ya ajabu ajabu yenye kila hila za kejeli na dharau. Sisi waislam tumeusiwa tuitane majina mazuri ndio maana ni nadra sana kukuta majina ya ajabu ajabu kwa waislam ila wachache wakibantu haswahaswa.
 
Kuna tetesi kwamba watumishi karibu woote serikalini wa vyeo vya kima cha kati na chini wamechoka na kupanda kwa ghalama za maisha na wanataka kupitia vyama vya wafanyakazi wafanye mgomo ambao haujawahi kutokea nchi hii, eti kuna e-mail za kuhamasishana.

Nahangaika jinsi ya kuthibitisha hili kama ni kweli.:argue:
 
Ngoja nikutafutie namba ya jamaa wa ze utamu aliekuwepo nje akueleze walimfanyaje..............
Inaonekana nawe ulikuwa ni mmoja wa wanamtandao na unadhihirisha hapa kuwa wamjua fika na ni mtu wako wa karibu mpaka namba yake ya simu unayo,nadhani wakiuliza mengi toka kwako wanaweza kujua pa kuanzia mpaka hizi mail zinazotumwa sasa.
 
mzee hiyo picha naona kama unanyanyasa haki za wanyama toka lini punda akavaamiwani na kitenge?
Kuna tetesi kwamba watumishi karibu woote serikalini wa vyeo vya kima cha kati na chini wamechoka na kupanda kwa ghalama za maisha na wanataka kupitia vyama vya wafanyakazi wafanye mgomo ambao haujawahi kutokea nchi hii, eti kuna e-mail za kuhamasishana.

Nahangaika jinsi ya kuthibitisha hili kama ni kweli.:argue:
 
Kama onyo liko ivo,basi nawashauri ktk kufoward,nenda subject line edit neno forward uliondoe,alafu shuka chini tafuta neno 'include quoted text' disable,yani paliposahisha,alama ya vema iondoe. Hapo utafoward kilaiini na link za waliotangulia zitapotea na hapo ujumbe utaifikia jamii. Kumbuka usitume kashfa,tuma vitu vinavyoweza kuisaidia jamii au kuburudisha kulingana na sheria za nchi.
 
Ngoja nikutafutie namba ya jamaa wa ze utamu aliekuwepo nje akueleze walimfanyaje..............

aliletwa mpaka Tz,wakakosa sheria ya kumbana,wakamwachia huru. Kama walivofanya kwa wamiliki wa JF na kuwahoji na kuwaachia huru.
 
Nimekuona mitaa fulani halafu ukasepa baada ya kuona nondo zilivyopigiliwa. Habari za masiku malenga wangu.

Mie sioni tatizo pia mtu kufowadi e mail zake ila tatizo linakuja kwenye contents za hiyo e mail. Kama ikiwa kuna maneno yasiyofaa au picha chafu za kutengeneza mie sikuungi mkono. Fahamu kumfanyia mtu jambo ovu unatakiwa ufikirie je akifanyiwa mtu wako baba yako, mjomba wako, dada yako, mama yako au wewe utajisikiaje?

Ukiona hutafurahia basi na huyo muhusika mnaemjadili hapa kwa majina mengi mengi mengi yakiwa ya kuchukiza hatapenda pia. Sidhani kuna mtu anapendwa aitwe kwa majina ya ajabu ajabu yenye kila hila za kejeli na dharau. Sisi waislam tumeusiwa tuitane majina mazuri ndio maana ni nadra sana kukuta majina ya ajabu ajabu kwa waislam ila wachache wakibantu haswahaswa.

mkuu majina ya kibantu yana maana yake wala si matusi. Kama dini yako haiyatumii si kwa sababu mabaya hapana. Ktk ubantu yani kusini mwa jangwa la Sahara wazawa wote wanaitwa majina kufuatana na matukio yaliyopo! Mfano,kama mtu anafanya mambo ya zinaa na akapata mtoto majina ya mtoto yatarandana,mtu akipata mtoto akiwa safarini au akaacha mimba na kusafiri,mtoto huitwa msafiri n.k Mi naona ni majina mazuri zaidi ya kujiita majina ya lugha ya kiarabu ambayo mwisho wa siku yana maana mbaya zaidi,mfano Ja-khaya. Pia majina ya kiarabu ni machache na unaweza kukuta watu 1000 ktk bara moja wana jina moja Hassan,Hussen!sasa ilo ni jina au collective word?na maana ya ID itakuwa na maana kweli,fikiria wakati wako CBE watu 20 wanaitwa jina lako,je utambuzi si ungekuwa issue?au waweke process ya kubandika picha ndo ujue kama umepass au umedisco au una sup. Tusidharau kibantu hakipo ilimradi! Shukuru jina lako linarelate na Mtume! Kadhalika hata mi sipendelei watu kuunganisha picha, photoshop technology,ni bora tuchore katuni! Mwisho,usichukie mtu kuitwa staili yake mfano kilaza akiwa na sifa izo bora aitwe,akiwa msafiri aitwe,akiwa mhuni aitwe ,akiwa msanii aitwe msanii,akiwa doctor/dr.aitwe,akiwd prof.aitwe,akiwa mwizi aitwe,akiwa fisadi aitwe na akiwa dikteta tumuite dikteta. Kiswahili kina aina kuu 7 mpaka 8 za maneno na kiswahili ni kibantu!
 
Nimetumiwa sms na mtu wangu wa karibu (anafanya kazi serikalini):

Kuna mtu amepata onyo kama hili au amekuwa implicated kuhusiana na email hizo? Lina ukweli kiasi gani? Ni email kuhusu nini au ni just email kuhusu rais?
itakuwa ilipicha ya mkwere yenye kiwiliwili na kichwa cha Mkwere, sikubahatika kuihifazi kwani niliiona nikiwa natumia simu hapa hapa JF nasikia wanakamatwa ukibainika umewatumia watu...
 
mi naomba kujua kwani hiyo email ina contents zipi?/ maana nimeanza kuisikia siku kadhaa lakini sijabahatika kupata japo neno moja tu lililopo ktk hiyo barua pepe!!! kipindi cha kampeni kuelekea uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka jana tulipokea sms kibao zilizokuwa na code no za ajabuajabu zikimchafua dr slaa eti ni mropokaji n.k, lakini tcra hawakutoa maelezo ya kina, sasa tunaomba watuache tujifowadie hiyo barua pepe
 
Nimekuona mitaa fulani halafu ukasepa baada ya kuona nondo zilivyopigiliwa. Habari za masiku malenga wangu.

Mie sioni tatizo pia mtu kufowadi e mail zake ila tatizo linakuja kwenye contents za hiyo e mail. Kama ikiwa kuna maneno yasiyofaa au picha chafu za kutengeneza mie sikuungi mkono. Fahamu kumfanyia mtu jambo ovu unatakiwa ufikirie je akifanyiwa mtu wako baba yako, mjomba wako, dada yako, mama yako au wewe utajisikiaje?

Ukiona hutafurahia basi na huyo muhusika mnaemjadili hapa kwa majina mengi mengi mengi yakiwa ya kuchukiza hatapenda pia. Sidhani kuna mtu anapendwa aitwe kwa majina ya ajabu ajabu yenye kila hila za kejeli na dharau. Sisi waislam tumeusiwa tuitane majina mazuri ndio maana ni nadra sana kukuta majina ya ajabu ajabu kwa waislam ila wachache wakibantu haswahaswa.

Wengine huwa wanawaita wenzao makafiri, hivi ni jina zuri ati?
 
Back
Top Bottom