Kasinde Huyo kaaga yupo jangwani kikazi...
Ha haa we mzalie tu bana,ntakusaidia kunywa mtoriHahahahahaa mwenzio kafa kaoza kwa Kasie kasema atarudi kazini jumanne ila huku dar atakuja tena baada ya pasaka hapo ndo kaniambia hatonipa hata sekunde ya kupumua hadi kibibi bin ajuza mie nimzalie mtoto khaaa.
Mwenzio anataka mtoto jilengeshe mie na kulea mbali mbali...
Acha uongo, yaani ulale hivi hivi tu umekuwa dadake?Hahahaaa James kaniambia nisubiri kwanza. Niko ok sikupata shida yoyote tumeamka salama.
Wacha tupate mlo wa mchana sasa baadae.
Atanitambua namgoja atakiona cha mtema kuni!!! hiyo ya easter holidays nashukuru kuninabaisha mapema nachinja huko kbla ya kusafiri!! akija mtafafana !!Hahahahahaa mwenzio kafa kaoza kwa Kasie kasema atarudi kazini jumanne ila huku dar atakuja tena baada ya pasaka hapo ndo kaniambia hatonipa hata sekunde ya kupumua hadi kibibi bin ajuza mie nimzalie mtoto khaaa.
Mwenzio anataka mtoto jilengeshe mie na kulea mbali mbali...
Na hili ndilo neno la mungu......Hahahahahaaa babuu hujasahau looh
Nilimwambia sema nae anamaringo Kasie anaafadhali. Ntakupatia namba zake useme nae.
Ha haa we mzalie tu bana,ntakusaidia kunywa mtori
Atanitambua namgoja atakiona cha mtema kuni!!! hiyo ya easter holidays nashukuru kuninabaisha mapema nachinja huko kbla ya kusafiri!! akija mtafafana !!
Akileta wake utamleta wako kutoka wapi? Au ndio utamzalia mwaego?Weeh sidanganyiki ng'oo japo nami nampenda kikweli kweli ila kuzaa ni shuhuli pevu kwa ninavyowaona wadada na wamama wanavosimulia wakitoka leba wodi.
Napenda mtoto akileta wake ntalea ila kuzaa laah aniimbie kwanza wimbo wa embe dodo huku akinipigia zeze ili anishawishi kuzaa. ......
Ntaufanyia kazi ushauri wako thanks.
Acha uongo, yaani ulale hivi hivi tu umekuwa dadake?
Akileta wake utamleta wako kutoka wapi? Au ndio utamzalia mwaego?
Duuuuuuuh! hongera, natumai hakucheza chini ya kiwango lakini, nyie vibibi ndio wazuri maana hata experience yenu ipo juu.Hahahahahaaaa
Tulikuwa na wakati mzuri sana leo kwa kweli namshukuru maulana kwa mie kufaha maana na James hata tukajuana. Nikisema tumejuana na James unaelewa. ..??!
James alivo mcharo Sidhani kama kuna dada atajivunga kuwa nae, nashangaa tuu kavutiwa nini na mie ajuza bin kibibi ......
Ooh hope atakuimbia kwa zeze mana kwako kashakufa na kuoza bado tu kuzikwaMie sina mtoto, akileta watoto wake ntawalea kama wangu na akiniimbia kwa zeze na gitaa wallah ntamzalia pacha wa kike na kiume kwa raha zake. Natumai atajisikia mwanaume mwenye furaha na amani baada ya kuzaa na Kasie.
Duuuuuuuh! hongera, natumai hakucheza chini ya kiwango lakini, nyie vibibi ndio wazuri maana hata experience yenu ipo juu.
Basi jamaa kafaido ile mbaya, kila la heri basi yule mpenzi wako ajihesabie maumivu tu sasa.Unawajua wasukuma unawasikia. .... kufanya kazi Jeddah haimaanishi naye ni mdebwedo kama wala urojo laah. Yuko fun and fit hadi naomba poo
Ha haa usijembania tuHeheheheheee hapana chezea James nahisi leo ntatembea migulu baja