Elon musk na mpango wa kufanya dunia kuwa mtaa

Elon musk na mpango wa kufanya dunia kuwa mtaa

Nafaham mkubwa but UFOs ndio hizo flying objects ambazo husemekana kumilikiwa na hao alliens wenye science ya juu sana?
Alien na UFO ni issue pana sana hasa kwa nchi za ulimwengu tatu.weng hawajui chochote kuhusu Aliens na UFO.
Alien ni nini Repitilian na UFO ni nn hapo ndio mtihan.ni mada pana sana.mcheki David icke
 
Swali ni je anafanya Yeye au anaajiri wahandisi nguli kufanya hayo chini ya patent yake
Yeye ndio mwenye idea na anapanga kila kitu.

Wale waliosoma ili kuajiriwa ndio watakaofanya anayosema na kupanga yeye.

Easy like that.
 
Huyuu jamaa namkubali Sana hizi akili zote hizi amezitoa wapi mbona zinazidi ubongo wakawaida wa binadamu.

Vizazi vijavyo vitakuja kumsoma kwenye syllabus Kama newton.
 
Back
Top Bottom