Elizabeth Warren atangaza nia ya Urais Marekani

Kadri siku zinavyoenda ndo nazidi kuhisi kuwa huenda Trump akawa one-term president, lakini si kwa nchi kuwa na uchumi mbaya.

La hasha. Ni kutokana na tabia yake hususan huko Twitter.

Leo/ jana kimsingi kamtukana Gen. Stanley McChrystal kwa kusema ana ‘big, dumb mouth’.

Now, I think such language is beneath presidential dignity.

At some point his jig is gonna be up. And that could very well be in the 2020 general election.

But, I always like to remind everyone that the rules of political gravity, thus far, haven’t applied to Trump.

So, only time will tell.

Yaani anawatukana Majenerali wote wastaafu. Akitofautiana nae tu, anamuwakia kwenye Twitter. He is a jackass!
 
Kadri siku zinavyoenda ndo nazidi kuhisi kuwa huenda Trump akawa one-term president, lakini si kwa nchi kuwa na uchumi mbaya.

La hasha. Ni kutokana na tabia yake hususan huko Twitter.

Leo/ jana kimsingi kamtukana Gen. Stanley McChrystal kwa kusema ana ‘big, dumb mouth’.

Now, I think such language is beneath presidential dignity.

At some point his jig is gonna be up. And that could very well be in the 2020 general election.

But, I always like to remind everyone that the rules of political gravity, thus far, haven’t applied to Trump.

So, only time will tell.
Ha ha ha haaaaa....
Huwa namkubali sana Ngabu linapokuja suala la Trump. Tangu primaries mpaka Kipindi cha Campaign tulitofautiana sana lakini mwisho ulikuja kukubali kuwa huyu jamaa haeleweki na lamwe hautakuja ku bet dhidi yake na si kwa kuwa unamkubali bali kwasababu atashinda.
Sijawahi kuona umeacha ukosoaji wako dhidi ya Trump lakini kila wakati, mwisho wa uchangiaji wako umekuwa ukionya kuwa jamaa hatabiriki.
 
Ni kweli hatabiriki!

Alipotangazaga kugombea nilidhani anatafuta attention tu.

Primaries zilipoanza nikadhani hangefika mbali maana alikuwa anachuana na watu wenye resumes zao.

Wakapelekeshana wee mwishowe wote akawagaraza....ma career politicians hao.

Haya, tukaingia kwenye general election campaign.

Hapo ndo kabisa nikasema atapokea kipigo cha karne to kwa Bibi.

Maana walikuwa wamemzidi karibu kila kitu...experience, pesa, opinion polls, debating skills, nk.

Kuelekea kwenye ngwe ya mwisho ya kampeni...mara paap...tape ya Access Hollywood ikatoka.

Nikasema baaasi....huo ndo msumari wa mwisho wa jeneza lake la u candidate.

Siku ya siku ilipofika...mambo yakawa mambo...mchuano ni mkali.

Bibi kiroho kinamdunda...Trump mwenyewe haamini akionacho!

Akaishangaza dunia.

Baada ya kuapishwa....prophets of doom wakaendelea na mambo yao. Wakadai hatomaliza term yake.

Ha! Guess what?? Leo ni 2019 na mwakani ni uchaguzi mkuu....

Tutaona....
 
Warren alisema "hata kama tuna tofauti zetu, wengi wetu tunataka kitu hicho hicho. Kuwa na uwezo wa kufanya kazi kwa bidii na kuwahudumia watu tunaowapenda. Hicho ndicho ninachopigania na ndio maana leo ninazindua kamati ya uchunguzi kwa ajili ya kuwania urais”.
Seneta m-democrat Elizabeth Warren wa Marekani ameunda kamati ya uchunguzi kwa ajili ya kuwania urais mwaka 2020. Seneta huyo wa Massachusetts siku ya Jumatatu alikuwa mtu wa kwanza katika kile kilichobashiriwa kutangaza azma yake ya urais ifikapo 2019.
Warren mwenye miaka 69 alizungumza kwenye video iliyotumwa kwa wafuasi wake akisema “hata kama tuna tofauti zetu, wengi wetu tunataka kitu hicho hicho. Kuwa na uwezo wa kufanya kazi kwa bidii na kuwahudumia watu tunaowapenda. Hicho ndicho ninachopigania na ndio maana leo ninazindua kamati ya uchunguzi kwa ajili ya kuwania urais”.
Kamati hiyo inamuwezesha kuchangisha fedha na kujaza nafasi za wafanyakazi kabla ya kuanza rasmi kampeni zake za urais baadae mwaka huu wa 2019.View attachment 982854

Sent using Jamii Forums mobile app
TRUMP ATASHINDA KAMA KAWAIDA 2020.
TRUMP HATAKAA AELEWEKE NA WATU.
trump amewekwa na Mungu kwa makusudi kuua mfumo wa new world order na globalism.ndio maana haamini ushoga haamini abortion yeye ni pro life.,anarudisha majeshi kutoka Syria.
Trump is the only president who fight back to those who criticize him.ndio maana kila uongo wanaumtungia anashinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa za kiafrika zimejaa mauzauza mno mbaya zaidi ni kwamba tunatamani kuiga ila same time tunashindwa kuiga kuheshimu haki ya mtu Binafsi kufanya au kutoa maamuzi katika uga wa kisiasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TRUMP ATASHINDA KAMA KAWAIDA 2020.
TRUMP HATAKAA AELEWEKE NA WATU.
trump amewekwa na Mungu kwa makusudi kuua mfumo wa new world order na globalism.ndio maana haamini ushoga haamini abortion yeye ni pro life.,anarudisha majeshi kutoka Syria.
Trump is the only president who fight back to those who criticize him.ndio maana kila uongo wanaumtungia anashinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ngumu kumeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kadri siku zinavyoenda ndo nazidi kuhisi kuwa huenda Trump akawa one-term president, lakini si kwa nchi kuwa na uchumi mbaya.

La hasha. Ni kutokana na tabia yake hususan huko Twitter.

Leo/ jana kimsingi kamtukana Gen. Stanley McChrystal kwa kusema ana ‘big, dumb mouth’.

Now, I think such language is beneath presidential dignity.

At some point his jig is gonna be up. And that could very well be in the 2020 general election.

But, I always like to remind everyone that the rules of political gravity, thus far, haven’t applied to Trump.

So, only time will tell.
Wow!!

Look at me!!

This is way back on New Year’s Day 2019.

Hahahahaaaaaa.....

Richard

LadyRed
 
TRUMP ATASHINDA KAMA KAWAIDA 2020.
TRUMP HATAKAA AELEWEKE NA WATU.
trump amewekwa na Mungu kwa makusudi kuua mfumo wa new world order na globalism.ndio maana haamini ushoga haamini abortion yeye ni pro life.,anarudisha majeshi kutoka Syria.
Trump is the only president who fight back to those who criticize him.ndio maana kila uongo wanaumtungia anashinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
U there? 😄
 
Back
Top Bottom