CCM tembeeni vifua mbele Marekani yaiga mbinu ya Shujaa Maguful ya kupiga Push up kwenye kampeni za Urais, itabidi watulipe!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,038
Nipo hapa Al jazeera news naangalia mchuano wa kampeni za awali za Urais wa Marekani

Kilichonifurahisha tena MNO ni mgombea uRais Mmoja na Wafuasi wake kutumia mbinu ya kupiga Push up iliyoasisi na Shujaa Maguful wa Chato, mkoani Geita nchini Tanzania barani Africa

I wish you a Merry Christmas 😀
 
Hao wanaopiga push-up wamuwaangalie sana

Kisije kuwaka wakaanza kutulilia
 
Duh!
Kwa hiyo na sisi tuwaige tuwaite na wao ni 'shithole country' sio...tuone hivyo vifua vyao
 
Back
Top Bottom