Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
kivipi?Huyu ni mke wa pili baada ya yule wa kwanza Mugabe kumtoa kafara sio?
Huyu ni mke wa pili baada ya yule wa kwanza Mugabe kumtoa kafara sio?
Mke wa kwanza alifariki wapi alimwacha baada ya kugundua alikuwa mwanausalama wa serekali ya Mugabe.
..Usitamani mwanamke asiye mke wako......Refer Amri 10 za MunguSema wooote ila Josephine Wilbroad Slaa ni kifaa,
ule upara tu mm hooooiiiiii...... (Truly Africanised woman).
Mke wa kwanza alifariki wapi alimwacha baada ya kugundua alikuwa mwanausalama wa serekali ya Mugabe.