Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,722
- 3,796
kumekuchaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, hatareeeeeeeeeeeee tupu.Ipo wanakaaa machangudoa tuu pale kifupi ni sehemu hatarishi
kumekuchaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, hatareeeeeeeeeeeee tupu.Ipo wanakaaa machangudoa tuu pale kifupi ni sehemu hatarishi
kumekucha. chukua kabisa na ARVIpo sinza maeneo gani wakuu hebu nielekezeni au ndio ile ua kumekucha opposite na kanisa unashuka na hiyo road ?? ile imefungwa
uelekezeni basi jamani ipo sehemu ganikwa hiyo mmmerahisishiwa
hapo sipajui ila nataka weekend hii niende nikaoneT
uelekezeni basi jamani ipo sehemu gani
kwani sinza ni kubwa
je ina parking
mm ni mwandishi pia mpiga picha (Paparazi)
huwa naTaste kabisa
majibu na picha nataleta hapahapa JF kwa Bandugu
daaah aisee umenukumbusha mbali sanaa..cjui bado ipo au ishafungwa,,but it was hot those days 2012,,, iko poa sana,,kama kuna mtu ana taarifa zake plzzzzz,,,,,,,Ipo wanakaaa machangudoa tuu pale kifupi ni sehemu hatarishi
Twende wote miss chaga tukafanye utalii wa ndani hata mimi kuna vitu nataka nika shuhudiehapo sipajui ila nataka weekend hii niende nikaone
haya nitakupitia pale kona barTwende wote miss chaga tukafanye utalii wa ndani hata mimi kuna vitu nataka nika shuhudie
yap..unapapata mkuuqueen Elizabeth
Wamerahisishiwa...kwa hiyo mmmerahisishiwa
ndiyo kitu unkikuta kwenye sahaniWamerahisishiwa...
yaah....unabaki kukimumunya tuundiyo kitu unkikuta kwenye sahani
basiiiyaah....unabaki kukimumunya tuu
Sema tumerahisishiwakwa hiyo mmmerahisishiwa
Huyu jamaa mgeni hapa mjini?Mkuu mbona unashangaa sana.
We ni mwenyeji wa wapi?
sawa mkuu tumerahisishiwaSema tumerahisishiwa
katokea yomboHuyu jamaa mgeni hapa mjini?