mkuu hii ni keeli?Bado ipo... na ukilipia chumba unakuta mwanamke tayari ndani... kama umekuja na wako, anawapisha...
Na nyingine iliitwa Queen of Sheba!queen Elizabeth
Sinza MoriNa nyingine iliitwa Queen of Sheba!
iko maeneo gani mkuuNa nyingine iliitwa Queen of Sheba!
MhhWakuu kwema?
Wakazi wa Sinza wa miaka ya 2009 kurudi nyuma mtakuwa mnakumbuka uwepo wa lodge matata sana iliyofahamika kwa jina la Elizabeth Inn Lodge, iliyopo maeneo ya Kijiweni karibu kabisa na hoteli maarufu ya Lion Hotel.
Lodge hiyo ilipata umaarufu kutokana na kugubikwa na starehe za mujini kwa kwenda mbele.
Ulabu, Ngono (Danguro) na hata uuzwaji wa kaya vilikuwa ni miongoni mwa vivutio viliyoifanya lodge hii kupata mahudhurio ya kutosha kutoka kwa wadau wa mambo hayo..
Wasanii wenye majina makubwa kama vile Mangwea (RIP) na team yake, Mheshimiwa Mbunge (jina kapuni) na wasanii kadha wa kadha walikuwa ni miongoni mwa watu walioweka kambi mara nyingi sana hasa nyakati za jioni.
M 2 the P naye ni mmoja wa wasanii wanaotajwa kudumu kwenye lodge hiyo kwa kipindi kirefu ambapo inadaiwa yeye alifikia hatua ya kuwa mpangaji wa kudumu (sijui kama anaishi hadi sasa au ashahama).
Sasa kwa muda mrefu sana siko Dar, ningependa kujua kama bado ipo au imebaki historia tu?
Nimeikumbuka sana leo!
Du!, pole sana mkuu.Ipo mkuu naishi jirani na hapo
Ilikuwa mwaka 2011 nimefika Dar kwa ishu ya siku moja tu kesho yake niende Zanzibar kikazi, jamaa yangu alonipokea(alikuwa mfuska enzi za Chuo) akanambia ananipeleka mahali nikatoe kutu na atanifuata asubuhi, kweli nilikuta mrembo mmoja chumba nilicholipia mwembamba sio mwembamba, mnene sio mnene....demu akawa anazuga anarekebisha au kama anafunga mapazia(niligundua hili maana tulipofungua tu mlango mimi na huyo jamaa yangu ndo akarukia madirisha)..jamaa aliponiacha tu nilipewa tabasamu la hatari hapo...kilichofuata kinafanya nipamiss pale...na condoms alikuwa nazo yeye...Bado ipo... na ukilipia chumba unakuta mwanamke tayari ndani... kama umekuja na wako, anawapisha...
Kijitonyama,unaingilia Mori Wanyama kwa MbeleMmh, hii ya wapi hii?
Si mchezo. Nayo bado ipo?
Huko huko Sinza, sijui kama bado ipo maana naikumbuka miaka ya mwanzoni ya 2000 nilikuwa sijawa mwenyeji wa hukoMmh, hii ya wapi hii?