Mbona vidole kwa ke tu..je ww unayemconvice aje room?Convo umeiandika kitoto toto ila ni mule mule na hawa ndiyo wanakua michepuko sugu.
Hamuwasiliani hata miaka 2 siku mmoja akiwa mkoa wa mwenzake anamshtua tu wanakutana wanamegana na kuapiana kua sijakutana na mtamu kama wewe hapo kila mmoja kaacha mwenza nyumbani.
Wote ni wahusika hapo. Ndiyo maana nimesema wanakua siyo anakuaMbona vidole kwa ke tu..je ww unayemconvice aje room?
Mmh!Naona ni mwanamke tu
Vipi wanaume chat zenu na ma Ex huku mnajijua mmeoa.
Aisee[emoji23]..Huyu ndio mkeo?,pole jembee.
Very true! Ukiachana na mke kuoa tena ni kujitafutia mashaka tu. Sema kuna wapo hawawezi kuishi bila mke ndani.Kwa mimi hata kama sina shaka na mke wangu ila kwa dunia ilipofika ya wanawake,ikitokea jambo baya limepita na nyumba yangu ikavunjika kwa maana ya kuachana na mke nasema SITAOA MKE MWINGINE TENA.
Nasema hivyo kwa sababu mimi ni dereva wa mashirika na ninasafiri kila uchao,ninaona tabia za ajabu za watu ktk maeneo tofauti tofauti
Itoshe kusema tu kwamba heshima ya muafrika imebaki kama 25% tu. TV na SIMU za kupangusa zimechangia pakubwa kuondoka kwa maadili ya muafrika.