Elimu yetu na fikira za viongozi

Elimu yetu na fikira za viongozi

bulama

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2012
Posts
568
Reaction score
138
uploadfromtaptalk1365427945595.jpg hiki ni chimba cha darasa.

uploadfromtaptalk1365428037488.jpg ndani ya hilo darasa.

uploadfromtaptalk1365428146586.jpg wanafunzi wakiwa darasani.

Hili darasa liko sehemu moja huko muleba kagera. leo nimeushangaa mswada wa mavazi kupelekwa bungeni wakati elimu yetu ikiwa katika mazingira haya.

fikira za viongozi wetu kuelekea maendeleo endelevu bado sijaziamini. hizi max wanazotaka watu waanze kuvaaa sijuhi zitasaidia kwa hili?

yangu majicho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom