Elimu ya Josephat Gwajima inatia mashaka

Asante kwa kutoa hilo darasa. Nilishindwa mjibu huyu mtu sababu niliona ana uelewa duni kwenye mambo haya. Kuhusu Gwajima, mimi nilikuwa napata shida sana kwani elimu yake na matamshi yake niliona haviendani. Nilidhani ni msomi. Sasa, nimejua ukweli hivyo nimekuwa huru na simlaumu tena atakapo sema lolote.
Nimebaki na shida moja tu, nayo ni elimu ya Jiwe. Uelewa wake hauendani na elimu yake.
Mkuu unataka kupotea enhee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Gwajima anapocheka elimu ya Makonda. Ndio maana mafia Makonda akamsukumia li pono video Mzee akabadili staili ikawa ya kuimba na kusifu chama cha Makonda hasimu wake.
 
Nimekuwa napata shida sana kutokana na elimu ya Gwajima . Tokea kipindi akitangazia umma na akiliamsha dude pale Kanisani kwake, basi ,nikawa napata shida kutokana na matamshi yake.

Kila kazi ina miiko yake. Askofu hatakiwi kutoa siri za muumini wake hata kama huyo muumini amelihama kanisa lake. Hapa niliona kwenye YouTube Gwajima akisema mambo ya siri ya mke wa Dkt. Slaa.

Leo nimeangalia tovuti ya kanisa la Gwajima. Katika hii tovuti ambayo ameandaa yeye mwenyewe nimeona mambo yafuatayo:
  • Gwajima amezaliwa mwaka 1970
  • Amemaliza shule ya msingi mwaka 1985
  • Amemaliza shule ya sekondari Olevel mwaka 1993. Alichelewa kumaliza secondary sababu ya maradhi.
  • Alimaliza Advanced Diploma in Bible and Theology mwaka 1994 mjini Nairobi Kenya. Hapa ndo pana ufisadi wa elimu. Yaani alisoma stashahada ya juu kwa mwaka mmoja tena baada ya kumaliza olevel. Kwa maoni yangu, huyu alichosoma ni level ya certificate. Matatizo ya Gwajima it yanaanzia hapa.
  • Baada ya hiyo Advanced Diploma yake ambayo ni magumashi, alijiunga na chuo kinaiitwa Japan Bible Institute na kusomea Master’s degree in Christian Missions June 2006 mpaka February 2008. Hapa nilitaka kujua ni kwanini hiyo institute ilikubali kumpa admission mwanafunzi ambaye ambaye ana only post secondary study ya mwaka mmoja tu, nikakuta hiyo institute yenyewe nayo ni ya kimagumashi. Hiyo institute haina hata physical address . Ni Chuo cha kwenye mtandao na pia kinatoa degree by experience. Yaani waweza pewa hata degree kwa kuwa una uzoefu. Hii masters degree yake kumbe ni utata mtupu na achilia mbali kwamba hana sifa za kujoin hata kozi ya degree ya kwanza.
  • Mwaka 2015 alipewa PhD na chuo cha kidini cha Afrika ya Kusini kinaitwa Omega Global University. Kwenye tovuti ya chuo hiki pana maelezo kwamba kinatoa honorary PhD. Gwajima haoneshi kwenye tovuti yake ni mwaka gani alijoin hiki chuo wala lini alimaliza. Pia, hiyo miaka, Gwajima alishakuwa na kanisa la misukule huko Ubungo na baadae kuhahmia Kawe. Tena ni mwaka ambao alikuwa mshenga wa kumleta Lowassa Chadema na baadaye kututobolea siri ya vyeti vya mkuu wa mkoa aitwaye Bashite. Hivyo basi, PhD hii ni ya heshima.
  • Mwisho, kwa maoni yangu, elimu ya Gwajima ambayo haina mashaka kabisa ni ile ya form four mwaka 1993.
References

Experience ni valuable na ina inanguvu mara mia kuliko hizi za wanaotoka chuoni hata kuandika easy hawajui. Wanabaki kusema " Ahh, infact, nilifanya advance.., of course, yeah ndio hivyo n.k bila hata chembe ya knowledge. Ujinga mtupu.

kam unaona ni rahisi na wewe fanya alichofanya Gwajima uone kama utamfikia hata robo. The man is talented!.
 
Yaani daktari alietumia cheti cha form four cha nduguye aliyeenda jeshi akafanya upasuaju kwa miaka kumi ++ kwa mafanikio!!eti unamfukuza!!! badala ya kudhibiti matumizi ya "impersonalization" kwa siku za usoni!! inasikitisha kwa kiwango fulani. Haya basi mpe japo michango yake ya mifuko ya jamii, hakuna!!! Kwani the means justify the ends in-hold?
Hahaha ukitaka kuwaelewa ccm lazima uwe UVCC a.k.a JESHI LA AKIBA, otherwise utaumiza kichwa na hutoelewa.
 
Vyuo vya dini vingi haviko Accredited na serikali sababu ya separation Kati ya dini na serikali. Hivyo sifa za kujiunga ziko tofauti na Hivyo vyuo accredited vya serikali.Sababu serikali hazina dini nyingi Huwezi mpelekea mtu asiye na dini akutengenezee syllabus ya dini hivyo vyuo vingi vya dini vigezo huwa tofauti kabisa.

Ndio Maana waweza mkuta shehe ana PhD ya elimu ya kiislamu lakini alisoma madrasa tu hajawahi kanyaga hata shule ya msingi lakini kasoma madrasa na vyuo vya kiislamu Hadi kufikia ngazi ya PhD.

Kwenye makanisa mengine mfano darasa la Saba aweza Soma vyuo vyao.Diploma na degee bila shida wao elimu wanayojikita nayo Ni ya dini Yao tu Sio mlundikano wa masomo mengi la hasha wanatengeneza msomi w dini yao tu.

Kuhusu PhD ya Gwajima hiyo alipewa na hicho chuo kutokana na kazi yake anayofanya kwenye jamii; walifanya assessment wakaona ni mtu kafanya kazi kubwa kwenye jamii, kaandika vitabu 32 na vimetafsiriwa kwa lugha zaidi ya 20 duniani na vinasomwa nchi tofauti za lugha tofauti na kutumia vyuoni vya dini ndio wakamtunuku hiyo PhD.

Hiyo PhD hicho chuo waliotunukiwa nacho ni pamoja na marehemu Dk Reginald Mengi yeye PhD yake ni ya hicho chuo naye alitunukiwa kwa kazi yake kwenye jamii mwingine Ni Marehemu Dk Getrude Rwakatare pia PhD yake alipewa na hicho chuo.
Chinekee.... ndio maana kuna profesa mazinge

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Gwajima ni mtu mwenye elimu pia ana experience plus connection duniani huwezi mlinganisha Gwajima na Mbowe au Msigwa he is man himself na ni msomi acheni cheap politics vijana wa ufipa tafuteni hoja zenye mashiko ambazo zitafanya mkubalike
 
Vyuo vya dini vingi haviko Accredited na serikali sababu ya separation Kati ya dini na serikali. Hivyo sifa za kujiunga ziko tofauti na Hivyo vyuo accredited vya serikali.Sababu serikali hazina dini nyingi Huwezi mpelekea mtu asiye na dini akutengenezee syllabus ya dini hivyo vyuo vingi vya dini vigezo huwa tofauti kabisa.

Ndio Maana waweza mkuta shehe ana PhD ya elimu ya kiislamu lakini alisoma madrasa tu hajawahi kanyaga hata shule ya msingi lakini kasoma madrasa na vyuo vya kiislamu Hadi kufikia ngazi ya PhD.

Kwenye makanisa mengine mfano darasa la Saba aweza Soma vyuo vyao.Diploma na degee bila shida wao elimu wanayojikita nayo Ni ya dini Yao tu Sio mlundikano wa masomo mengi la hasha wanatengeneza msomi w dini yao tu.

Kuhusu PhD ya Gwajima hiyo alipewa na hicho chuo kutokana na kazi yake anayofanya kwenye jamii; walifanya assessment wakaona ni mtu kafanya kazi kubwa kwenye jamii, kaandika vitabu 32 na vimetafsiriwa kwa lugha zaidi ya 20 duniani na vinasomwa nchi tofauti za lugha tofauti na kutumia vyuoni vya dini ndio wakamtunuku hiyo PhD.

Hiyo PhD hicho chuo waliotunukiwa nacho ni pamoja na marehemu Dk Reginald Mengi yeye PhD yake ni ya hicho chuo naye alitunukiwa kwa kazi yake kwenye jamii mwingine Ni Marehemu Dk Getrude Rwakatare pia PhD yake alipewa na hicho chuo.
Wewe umechelewa sana aisee kumfahamu Gwajima au itakua unapelekeshwa tuu na upinzani pole aiseee
 
Nimekuwa napata shida sana kutokana na elimu ya Gwajima . Tokea kipindi akitangazia umma na akiliamsha dude pale Kanisani kwake, basi ,nikawa napata shida kutokana na matamshi yake.

Kila kazi ina miiko yake. Askofu hatakiwi kutoa siri za muumini wake hata kama huyo muumini amelihama kanisa lake. Hapa niliona kwenye YouTube Gwajima akisema mambo ya siri ya mke wa Dkt. Slaa.

Leo nimeangalia tovuti ya kanisa la Gwajima. Katika hii tovuti ambayo ameandaa yeye mwenyewe nimeona mambo yafuatayo:
  • Gwajima amezaliwa mwaka 1970
  • Amemaliza shule ya msingi mwaka 1985
  • Amemaliza shule ya sekondari Olevel mwaka 1993. Alichelewa kumaliza secondary sababu ya maradhi.
  • Alimaliza Advanced Diploma in Bible and Theology mwaka 1994 mjini Nairobi Kenya. Hapa ndo pana ufisadi wa elimu. Yaani alisoma stashahada ya juu kwa mwaka mmoja tena baada ya kumaliza olevel. Kwa maoni yangu, huyu alichosoma ni level ya certificate. Matatizo ya Gwajima it yanaanzia hapa.
  • Baada ya hiyo Advanced Diploma yake ambayo ni magumashi, alijiunga na chuo kinaiitwa Japan Bible Institute na kusomea Master’s degree in Christian Missions June 2006 mpaka February 2008. Hapa nilitaka kujua ni kwanini hiyo institute ilikubali kumpa admission mwanafunzi ambaye ambaye ana only post secondary study ya mwaka mmoja tu, nikakuta hiyo institute yenyewe nayo ni ya kimagumashi. Hiyo institute haina hata physical address . Ni Chuo cha kwenye mtandao na pia kinatoa degree by experience. Yaani waweza pewa hata degree kwa kuwa una uzoefu. Hii masters degree yake kumbe ni utata mtupu na achilia mbali kwamba hana sifa za kujoin hata kozi ya degree ya kwanza.
  • Mwaka 2015 alipewa PhD na chuo cha kidini cha Afrika ya Kusini kinaitwa Omega Global University. Kwenye tovuti ya chuo hiki pana maelezo kwamba kinatoa honorary PhD. Gwajima haoneshi kwenye tovuti yake ni mwaka gani alijoin hiki chuo wala lini alimaliza. Pia, hiyo miaka, Gwajima alishakuwa na kanisa la misukule huko Ubungo na baadae kuhahmia Kawe. Tena ni mwaka ambao alikuwa mshenga wa kumleta Lowassa Chadema na baadaye kututobolea siri ya vyeti vya mkuu wa mkoa aitwaye Bashite. Hivyo basi, PhD hii ni ya heshima.
  • Mwisho, kwa maoni yangu, elimu ya Gwajima ambayo haina mashaka kabisa ni ile ya form four mwaka 1993.
References
Elimu yake haihusiani kabsa na siasa Gwajima anauwezo mkubwa hata nyie mnatambua na kulijua hilo so achen upuzi na ujinga mnaoendelea nao Huyo tundu lisu kasoma nn huyo halima amesoma hadi wap kama sio upumbuani wa akili unaowasumbua
 
Nimekuwa napata shida sana kutokana na elimu ya Gwajima . Tokea kipindi akitangazia umma na akiliamsha dude pale Kanisani kwake, basi ,nikawa napata shida kutokana na matamshi yake.
kwani mbowe ana elimu gani?
 
Kuhusu PhD ya Gwajima hiyo alipewa na hicho chuo kutokana na kazi yake anayofanya kwenye jamii; walifanya assessment wakaona ni mtu kafanya kazi kubwa kwenye jamii, kaandika vitabu 32 na vimetafsiriwa kwa lugha zaidi ya 20 duniani na vinasomwa nchi tofauti za lugha tofauti na kutumia vyuoni vya dini ndio wakamtunuku hiyo PhD.

Hiyo PhD hicho chuo waliotunukiwa nacho ni pamoja na marehemu Dk Reginald Mengi yeye PhD yake ni ya hicho chuo naye alitunukiwa kwa kazi yake kwenye jamii mwingine Ni Marehemu Dk Getrude Rwakatare pia PhD yake alipewa na hicho chuo.
 
Nimekuwa napata shida sana kutokana na elimu ya Gwajima . Tokea kipindi akitangazia umma na akiliamsha dude pale Kanisani kwake, basi ,nikawa napata shida kutokana na matamshi yake.

Kila kazi ina miiko yake. Askofu hatakiwi kutoa siri za muumini wake hata kama huyo muumini amelihama kanisa lake. Hapa niliona kwenye YouTube Gwajima akisema mambo ya siri ya mke wa Dkt. Slaa.

Leo nimeangalia tovuti ya kanisa la Gwajima. Katika hii tovuti ambayo ameandaa yeye mwenyewe nimeona mambo yafuatayo:
  • Gwajima amezaliwa mwaka 1970
  • Amemaliza shule ya msingi mwaka 1985
  • Amemaliza shule ya sekondari Olevel mwaka 1993. Alichelewa kumaliza secondary sababu ya maradhi.
  • Alimaliza Advanced Diploma in Bible and Theology mwaka 1994 mjini Nairobi Kenya. Hapa ndo pana ufisadi wa elimu. Yaani alisoma stashahada ya juu kwa mwaka mmoja tena baada ya kumaliza olevel. Kwa maoni yangu, huyu alichosoma ni level ya certificate. Matatizo ya Gwajima it yanaanzia hapa.
  • Baada ya hiyo Advanced Diploma yake ambayo ni magumashi, alijiunga na chuo kinaiitwa Japan Bible Institute na kusomea Master’s degree in Christian Missions June 2006 mpaka February 2008. Hapa nilitaka kujua ni kwanini hiyo institute ilikubali kumpa admission mwanafunzi ambaye ambaye ana only post secondary study ya mwaka mmoja tu, nikakuta hiyo institute yenyewe nayo ni ya kimagumashi. Hiyo institute haina hata physical address . Ni Chuo cha kwenye mtandao na pia kinatoa degree by experience. Yaani waweza pewa hata degree kwa kuwa una uzoefu. Hii masters degree yake kumbe ni utata mtupu na achilia mbali kwamba hana sifa za kujoin hata kozi ya degree ya kwanza.
  • Mwaka 2015 alipewa PhD na chuo cha kidini cha Afrika ya Kusini kinaitwa Omega Global University. Kwenye tovuti ya chuo hiki pana maelezo kwamba kinatoa honorary PhD. Gwajima haoneshi kwenye tovuti yake ni mwaka gani alijoin hiki chuo wala lini alimaliza. Pia, hiyo miaka, Gwajima alishakuwa na kanisa la misukule huko Ubungo na baadae kuhahmia Kawe. Tena ni mwaka ambao alikuwa mshenga wa kumleta Lowassa Chadema na baadaye kututobolea siri ya vyeti vya mkuu wa mkoa aitwaye Bashite. Hivyo basi, PhD hii ni ya heshima.
  • Mwisho, kwa maoni yangu, elimu ya Gwajima ambayo haina mashaka kabisa ni ile ya form four mwaka 1993.
References
Tunaenda na Mbunge msomi asiye na chembe ya uhuni wa ubabaishaji
 
Attachments

  • IMG-20200913-WA0015.jpg
    IMG-20200913-WA0015.jpg
    55.7 KB · Views: 18

FREEMAN MBOWE NA HALIMA MDEE WANAVYOMHUJUMU TUNDU LISSU

Kwanza kabisa tukubaliane kwamba mtanange wa uchaguzi umepamba moto huku kila chama cha siasa kikijitahidi kunadi wagombea wake na kushawishi wananchi kuwachagua.

Kwa namna nyingine tumeona vituko vingi vya wagombea wakiwa kwenye harakati za kutafuta kura majimboni na kwenye kata zao. Wakati mgombea wa uraisi kupitia CCM akiendelea kuchanja mbuga kusaka kura za wananchi, mgombea wa CHADEMA naye anazisaka kwa nguvu zote kura hizohizo katika upande mwingine wa nchi.

Je, nani alipiga picha ya Tundu Lissu akiwa ameachama (amepiga miayo) ambayo kwa jinsi wengi tulivyozoea hiyo huwa ni ishara aidha ya njaa, usingizi au uchovu? Ikumbukwe wazi kuwa wapiga picha wanaoambatana na mgombea ni wa chama husika na huweza kunasa matukio yote ya mgombea popote anapokuwa. Nimejithibitishia pasina shaka kuwa picha hiyo imepigwa na kusambazwa na mpiga picha maalum wa mgombea urais Tundu Lissu.

Nitarudi nyuma kidogo kuweka mtiririko sawa kutokana kile kilichotokea kwenye uzinduzi wa kampeni za ubunge Jimbo la Kawe zilizofanyika tarehe 29.08.2020 Tanganyika Packers, Kawe Dar es Salaam.

Siku ya uzinduzi wa kampeni kulikuwa na makabrasha yaliyojaa uzushi mwingi kuhusu mgombea ubunge wa jimbo la Kawe kupitia CCM, Askofu Josephat Gwajima yenye lengo la kumchafua na kuharibu taswira yake kwenye jamii. Makabrasha hayo ambayo yaliandaliwa na Absalom Kibanda pamoja na mwenzake ambaye hana hadhi ya kuongelewa, wakiwa wamepewa kazi hiyo na Halima Mdee yaligonga mwamba jukwaani baada ya Tundu Lissu kukataa kabisa kuyasoma alipokaribishwa kuongea.

Mtu mmoja aliye karibu na Halima ambaye nalihifadhi jina lake kwa sasa alinitonya kuwa Halima alisikika akiongea na watu wake wa karibu kuwa amechukizwa na kitendo cha Lissu kutokumsaidia kumshambulia mshindani wake Askofu Gwajima anayegombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika jimbo la Kawe. Katika maongezi hayo Halima alimshutumu Lissu kuwa ana urafiki wa muda mrefu na Askofu Gwajima na sababu ya kutokumshambulia Askofu Gwajima ni kutokana na urafiki huo. Katika maongezi hayo Halima alihoji iweje mgombea Urais ashindwe kumwongelea mgombea mbunge wa chama chake na kumwombea kura sambasamba na kuwaonyesha wapigakura kuwa mpinzani wake hafai hata baada ya kuwa ameandaliwa mambo ya kumponda mgombea wa chama pinzani. Halima alijiapiza kulipiza kisasi kwa kutopigania kura za Lissu katika jimbo la kawe akisema kila mtu abebe msalaba wake.

Mkutano huo wa Kawe ulikuwa na watu wachache sana waliojitokeza kushangaa kile kinachoendelea baada ya picha ya uzinduzi wa jana yake uwanja wa Zakhiem Mbagala kusambaa ikiwa na watu wachache sana mpaka kupelekea TBC kufukuzwa uwanjani.

Kwa upande mwingine taarifa zilizothibitishwa zinasema kuwa kumekuwepo na mvutano na kuhujumiana kati ya baadhi ya viongozi wa CHADEMA na mgombea urais wa chama hicho Tundu Lissu. Mikutano mingi inayofanywa na Tundu Lissu imekuwa ya hali dhaifu yenye maandalizi duni mpaka kupelekea picha za uchaguzi wa 2015 ambao Lowasa aligombea kutumika kuhadaa umma kuwa mikusanyiko ni mikubwa kwenye mikutano yao.

Mvutano mkubwa uliopo kati ya Tundu Lissu na Mwenyekiti wake Freeman Mbowe unatokana na majibu ya hovyo yanayotolewa na Mbowe pindi anapoombwa kutoa fedha kwa ajili ya kampeni ambazo ni makusanyo ya makato ya mishahara ya wabunge kwa kipindi cha miaka mitano. Hii ndio sababu kubwa ya miayo anayopiga Tundu Lissu huku mpiga picha wake akiwa tayari kusambaza picha hiyo ambayo inapeleka ujumbe unaosema UTAKULA JEURI YAKO.

Ni jambo lililo wazi kuwa kampeni za Tundu Lissu zinafanywa katika mazingira magumu sana ya kifedha na kupelekea kampeni hizo kukosa sura ya mgombea uraisi. Majukwaa anayotumia Tundu Lissu pamoja na PA system vyote ni hadhi ya chini sana kana kwamba anafanya kampeni za ubunge. Ukata wa fedha pia umedhihirishwa na tabia ya omba omba inayofanywa kwenye mikutano ya Tundu Lissu ambapo wananchi wanaohudhuria mikutano hiyo huombwa kuchangia fedha ili kusaidia gharama za kampeni kana kwamba chama kimeshituliwa na hakikuwa kimejiandaa kufanya kampeni za uchaguzi mkuu.

Ni jambo la fedheha kuwa Tundu Lissu katika hotuba zake akiwa kwenye majukwaa anasema wananchi ni masikini kwa sababu serikali ya Magufuli imeharibu uchumi lakini baada ya hapo anatembeza bakuli kuwaomba mchango wananchi hao anaowaita masikini.

Dr Alphonce Mwang'onda

alphoncejohn@gmail.com
 
Huyo Askofu tapeli gwajima mpigeni chini fasta.....

Kwanza yuko bize anaratibu kikundi chake cha kikabila yy na makonda.....

Nitawashangaa mkimchahua mcheza porn huyu.....

Piga chini hii ng'ombe mdini na mkabila huyo abaki na hicho kikundi cha kigaidi na waumini wake ambao wapo km mang'ombe
 
Vyuo vya dini vingi haviko Accredited na serikali sababu ya separation Kati ya dini na serikali. Hivyo sifa za kujiunga ziko tofauti na Hivyo vyuo accredited vya serikali.Sababu serikali hazina dini nyingi Huwezi mpelekea mtu asiye na dini akutengenezee syllabus ya dini hivyo vyuo vingi vya dini vigezo huwa tofauti kabisa.

Ndio Maana waweza mkuta shehe ana PhD ya elimu ya kiislamu lakini alisoma madrasa tu hajawahi kanyaga hata shule ya msingi lakini kasoma madrasa na vyuo vya kiislamu Hadi kufikia ngazi ya PhD.

Kwenye makanisa mengine mfano darasa la Saba aweza Soma vyuo vyao.Diploma na degee bila shida wao elimu wanayojikita nayo Ni ya dini Yao tu Sio mlundikano wa masomo mengi la hasha wanatengeneza msomi w dini yao tu.

Kuhusu PhD ya Gwajima hiyo alipewa na hicho chuo kutokana na kazi yake anayofanya kwenye jamii; walifanya assessment wakaona ni mtu kafanya kazi kubwa kwenye jamii, kaandika vitabu 32 na vimetafsiriwa kwa lugha zaidi ya 20 duniani na vinasomwa nchi tofauti za lugha tofauti na kutumia vyuoni vya dini ndio wakamtunuku hiyo PhD.

Hiyo PhD hicho chuo waliotunukiwa nacho ni pamoja na marehemu Dk Reginald Mengi yeye PhD yake ni ya hicho chuo naye alitunukiwa kwa kazi yake kwenye jamii mwingine Ni Marehemu Dk Getrude Rwakatare pia PhD yake alipewa na hicho chuo.
Umesema vyema sana.

Askofu wangu, yupo kanda ya ziwa, amesoma elimu ya msingi tu na hakusoma sekondari ila sasa anadegree ya Theology, tena degree yake kaipata akiwa kwenye late 50'S (Umri).

Vigezo vya elimu ya dini ni tofauti sana, maana wengi wanaanzia kwenye wito, watu pekee unaweza fuatilia elimu zao bila mashaka ni Mapadri tu, madhehebu na dini zingine zote utapata maruweruwe.
 
Vyuo vya dini vingi haviko Accredited na serikali sababu ya separation Kati ya dini na serikali. Hivyo sifa za kujiunga ziko tofauti na Hivyo vyuo accredited vya serikali.Sababu serikali hazina dini nyingi Huwezi mpelekea mtu asiye na dini akutengenezee syllabus ya dini hivyo vyuo vingi vya dini vigezo huwa tofauti kabisa.

Ndio Maana waweza mkuta shehe ana PhD ya elimu ya kiislamu lakini alisoma madrasa tu hajawahi kanyaga hata shule ya msingi lakini kasoma madrasa na vyuo vya kiislamu Hadi kufikia ngazi ya PhD.

Kwenye makanisa mengine mfano darasa la Saba aweza Soma vyuo vyao.Diploma na degee bila shida wao elimu wanayojikita nayo Ni ya dini Yao tu Sio mlundikano wa masomo mengi la hasha wanatengeneza msomi w dini yao tu.

Kuhusu PhD ya Gwajima hiyo alipewa na hicho chuo kutokana na kazi yake anayofanya kwenye jamii; walifanya assessment wakaona ni mtu kafanya kazi kubwa kwenye jamii, kaandika vitabu 32 na vimetafsiriwa kwa lugha zaidi ya 20 duniani na vinasomwa nchi tofauti za lugha tofauti na kutumia vyuoni vya dini ndio wakamtunuku hiyo PhD.

Hiyo PhD hicho chuo waliotunukiwa nacho ni pamoja na marehemu Dk Reginald Mengi yeye PhD yake ni ya hicho chuo naye alitunukiwa kwa kazi yake kwenye jamii mwingine Ni Marehemu Dk Getrude Rwakatare pia PhD yake alipewa na hicho chuo.
Hivi mbona wakatoliki hawafuati hivyo vigezo?wanasoma form one mpaka form six halafu diploma ya sychology miaka miwili halafu miaka minne degree na kwa nn hao wengine wapewe tu vyeti vya magumashi

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mafisadi wa elimu wapo wengi sana huko Tanzania.
Kuanzia kichwani mpaka unyayoni.
 
Back
Top Bottom