Elimu ya Josephat Gwajima inatia mashaka

elimu kitu gani issue ni kuifikia Destiny yako.unasema ana elimu ya magumashi ila ana ndege hammer tatu na mkwanja wa kutosha.Gwajima ana Mungu lazima ashinde ubunge
 
Daaa huwa nashangaa Sana kizazi hiki kimejaa wajuaji wengi ,Yan ety na Huyu anamjua Gwajima yani baada ya kugombea ubunge ndo mnajifanya mnamjua mbona hamkusema kipindi kile Cha Vyetii ,Achenii upuuzi wa kutuona sisi wajinga bana
Wekeni na nyie vyeti vyenu tuvione
 
Hata kihiyo kama Joseph Msukuma wanamzidi Gwajima elimu. Hana elimu yoyote. Ni tapeli na msanii wa kawaida ambaye Mungu wake ni tumbo lake. Finish. Hana tofauti na akina Rwakatare, Gamanywa, mzee wa upako, Kakobe na matapeli wengine wanaotumia Yesu kuibia na kuumiza wajinga maskini waliojaa Tanzania.
 
Mbona unahangaika na maisha ya mwanaume mwenzako si upambane na wewe hebu acha ufala
 
Unataka nihangaike na mama yako tuu wakati nina akili kubwa. Kama Gwajima tapeli wa kutupwa amekuhonga au wewe ni yeye basi mjue tunavyowatazama.
 
#Niwape tu onyo nyie wote mnaotoa maneno ya kashfa kwa mtumishi wa MUNGU muache mara moja la sivyo kuna madhara yatawafuata kama mtataka kuendelea.......😭😭😭
 
Pumbaff kabisa. Mtumishi wa Mungu au shetani? Ni taahira pekee asiyejua kuwa gwajima ni chawa na tapeli wa kawaida.
 
Back
Top Bottom