Vyuo vya dini vingi haviko Accredited na serikali sababu ya separation Kati ya dini na serikali .Hivyo sifa za kujiunga ziko tofauti na Hivyo vyuo accredited vya serikali...
Sifa za kuwa mbunge ya chini awe darasa la Saba ndio maana Tunduma mgombea ubunge wa Chadema Tunduma ambaye pia alikuwa mbunge wa chadema Jimbo Hilo ni darasa la Saba pure anaitwa MwakanjokaHahaha yani unaumiza kichwa na elimu ya Gwajima?!
CCM sijui walimpitishaje?
Separation ya serikali na dini kwenye elimu ndiko ni ndiko naongelea.Kwenye kugombea uongozi katiba ya Nchi inaruhurusu Kila mtu kugombea bila kubagua.Ha i separate"...Separation ya serikali na dini..." na sasa mtu huyo huyo anaingia serikalini huku akiwa bado kiongozi kwenye mambo ya kidini.
Anaingia bungeni Sio serikali usichanganye mambo serikali na bunge vitu viwili tofauti"...Separation ya dini na serikali..." na sasa mtu huyo huyo anaingia serikalini huku akiwa bado kiongozi kwenye mambo ya kidini.
Separation ya serikali na dini kwenye elimu ndiko ni ndiko naongelea.Kwenye kugombea uongozi katiba ya Nchi inaruhurusu Kila mtu kugombea bila kubagua.Ha i separate
Anatumia Haki yake ya kikatiba.Hakuna popote katiba inatamka kuwa mgombea ubunge anatakiwa kuacha kaxi yake ya kidini au ya private sector Ni serikalini tu
Uko sahihi kabisa, kwenye dini unatakiwa utumikie dini ndio maana elimu yao imejikita huko.
Kwa dhehebu letu mchungaji anatakiwa kuwa neutral.
Vipi kuhusu kumpa uenyekiti wa Chadema Mbowe ambaye Ni form Six division zero na kumwacha mtu Kama Profesa Baregu mwana Chadema Profesa wa Siasa mwenyewe PhD ya Political ScienceCCM nafasi zinatolewa kwa kujuana si kwa merits.
Sifa za kuwa mbunge ya chini awe darasa la Saba ndio maana Tunduma mgombea ubunge wa Chadema Tunduma ambaye pia alikuwa mbunge wa chadema Jimbo Hilo ni darasa la Saba pure anaitwa Mwakanjoka.
[emoji3][emoji3][emoji3]
Haihitaji kupata rejea kujua elmu ya gwajima, ukimsikikiza tu unajua hamna kituHata mimi humwona jamaa huyu kuwa ni tapeli tu; CCM wameingia mkenge kumsimamisha yeye