Mkomamanga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 815
- 189
lema ukifuatilia kauli zake utajua kabisa elimu yake haiko clear.
Mkuu you dont reflect any thinking,Nini maana ya elimu? Mafisadi wa Elimu wote wana vyeti lakini miaka 50 ya vyeti vyao haijaleta mabadiliko kwetu watanzania. Kama elimu ni za hivyo afadhali hii ya 'street university' inayoweza kuleta mabadiliko walau ya kimtizamo na kifikra. Maana huo ndiyo mwanzo wa kujikomboa na si mawazo mgando ya kukimbizana kuhonga ili watu watunukiwe shahada za udaktari na walazimishe watu kuwaita Doctor so and so.... huku wakijua kabisa hawaja-publish hata makala moja ya kitafiti katika jarida lolote!!!!! Waaibishwe na wafedheheshwe mafisadi wa elimu na siasa za tz.
tatizo sio elimu hapa..tatizo ni kua godbless lema hana personality ya kuongoza jimbo lenye hadhi kama hili la arusha...unaweza kusoma mbaka nywele zika nyonyoka ila ukakosa hekima..hana hekima kabisa.....mie nimemuona kwa macho yangu nilipo kwenda kwenye kilio cha dada mmoja hapa arusha,wakati ndugu wa marehemu wakilia kwa uchungu kwa kupotelewa na msichana mdogo huyu lema akaingia kwenye nyumba yenye msiba.....alipo ingia unaweza sema petrol station inatembea,alikua ananukia breweries ya kutosha..huku watu wakiwa na huzuni kubwa,akasema "jamani msilie sana,ni swala la kuomba tu ili arudi tena dunia,haya jamani tumuombee afufuke"hiyo kauli iliwafanya ndugu wengine marehemu kutoka nje......sasa hii ni kutokua na hadhi ya uongozi!!!
kwa ukweli kwenye hiyo CV sijauona utata wa kusoma miaka mitatu O Level kwani wapo wengi wamesoma miaka miwili O levl , Advance Mwaka Mmja na sasa ni maprofesa tusiwe na uvivu wa kufikiri. Nchi hii sawa tunahitaji elimu lakini na credibility ya mtu ni muhimu hata akiwa hajasoma.
Mkuu you dont reflect any thinking,
Kwa hiyo tutawaliwe na mambumbumbu kama Lema na Lusinde?
Mchagueni awaendeshee chama chenu mnufaike na street university yake
Umbumbumbu huko huko kwenu.
Juzi tu tumeona umbumbumbu wa Lusinde, twaenda shule za nini?