Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Dgiteki unaipataje
 
Ahsante Sana kaka nmekusoma sana
 
Kwa king'amuzi gani mkuu??
 
Wadau kama zoezi la hapo juu limeeleweka,ingiza frequence hizi ambapo baadhi ya chanel wanaonesha epl live.

11190h/v,1032 utapata chanel kibao.
Habari mkuu naomba nielekezwe namna ya kuset
 
Mkuu naomba utuelekeze vzr namna ya kuset frequency mfano dish langu sijalipia kabisa yaani napata channel moja tu TBC 1 hivi naweza kupata na Itv,startv hata kama sina bundle
Kama inawezekana basi naomba unielekeze please
 
Dgiteki unaipataje
Digitek inapatikana kwenye maduka ya ving'amuzi.
Inatumia Antena, hiyo unapata chanel za Tanzania bure siku zote.
Hawa wanaoeleza kuongeza Setelite hawana usahihi.
Setelite za Azam zinaandikwa kwa mpangilio kama huu.
1856 45000 H.
Wao wanaandika eti zinaandikwa
Kwa mpangilio wa
11190 H 3210 . H wanaiweka katikati badala ya mwishoni, mpangilio ambao haufiti kwenye Sysytem ya receiver za Azam.
Waelezaji hawako makini na utafiti wao.
 
Ahsante na je decoder za dishi za Digitek je? Znapatikana
 
Ahsante na je decoder za dishi za Digitek je? Znapatikana
Ukienda kwenye maduka ya ving'amuzi utajibiwa swali lako hili kwa usahihi zaidi.
Mimi nina Digitek ya Antenna na inafanya kazi vizuri tu na haina malipo kwa mwezi.
 
somo zuri sana lakini unapowaambia hawa vishoka waelekeze dish mashariki naona kama unawapoteza bure mkuu na sidhani kama wataambulia chochote, cha msingi waambie waitafute satellite husika inayorusha matangazo ya continental ijulikanayo kama abs3 nyuzi 75 kisha wascan decoda zao watapata hizo chanel vinginevyo watakesha
 
[emoji1] sisemi kama inaonekana hujui lolote kuhusu nilicho andika apo juu,bali nadiriki kisema hujui kitu chochote ktk hii tasnia,kwani kuna tofauti gani unapo andika transponder,polarization na symborate bila kufuata uo mpangilio wa azam.? Wacha kukalili haijarishi umeanza na nini ilimradi umejaza kila kitu ktk sehemu yake utapata signal tu,rudi kafanye tafiti yako upya.
 
Mkuu naomba utuelekeze vzr namna ya kuset frequency mfano dish langu sijalipia kabisa yaani napata channel moja tu TBC 1 hivi naweza kupata na Itv,startv hata kama sina bundle
Kama inawezekana basi naomba unielekeze please
Ndio unaweza zipo za local apk @64 inaitaji dish ft6
 
Note. Someni update za uzi huu uko ktk post ya kwanza ndio muendeleze mijadala yenu,sikuizi azam ana sw ambayo imezicombine izo tp na izo chanel ziko upande wa other chanels,ila zipo trick za kukuwezesha kuona izo ligi pendwa bila malipo yoyote.

Mind u bure ni ghali sana now days.
 
Kha!!! Hebu kua msomaji tu utajifunza kitu hapa.
 
Kha!!! Hebu kua msomaji tu utajifunza kitu hapa.
Kwani hairuhusiwi kudadisi ?
Mimi nilijaribu kuweka huo mpangilio wa kuwaka herufi H katikati na receiver ikagoma kuipokea.
Mpangilio wa receiver za Azam herufi H inakaa mwishoni.
Hebu basi wewe utuandikie na kuiweka H mwishoni ili ikae bila kusumbua.
Kama mtu akiuliza kitu ni vizuri kumjibu badala ya kuandika vitu vingine visivyoeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…