Heb fafanua.Ndio inawezekana. Mm nina Tv ya LG ina king'amuzi cha ndani na ninatumia dish la dstv Ninapat fta channel nyingi za bure.
Naona kimechokuchanya hapo ni neno dstv.mkuu hebu fafanua hapa. unapataje FTA bure kwa kutumia DSTV.
Tambua kuwa kuna decorder za kulipia kila mwezi ili uweze kuona channel za Tv kama vile Azam tv, Dstv, Ting n.k na pia kuna decorder ambazo ni free ambazo haulipii ili kuona channel za Tv na hizi decorder tunaweza kusema ni FTA receiver/decorder na ndiyo ninayoitumia ila decorder yangu imo ndani ya flat screen yaani ni builtin decorder.kivipi?
Heb fafanua.
Natumia dishi la Dstv na king'amumuzi kisicho cha dstv. Decorder yangu ni ya FTA CHANNEL ndo nayo itumiamkuu hebu fafanua hapa. unapataje FTA bure kwa kutumia DSTV.
Nimesha jibu jinsi ya kufanya.Maelezo please unafanyaje mkuu
Kilichokua kinakikanganya na kuhusu hizo TV zenye decoder za ndani kwa ndani. Kwa sababu hata sisi tuna Tv ya LG ni kubwa kama uliyo nayo lakini sijawahi kudhani kama utakua na hicho unachosema...Naona kimechokuchanya hapo ni neno dstv.
Nachotumia hapo ni dish pekee la dstv au Dish la Azam au startimes na wala sio visimbuzi ya kampuni ya hayo madish badala yake unakuwa na visimbuzi chochote ila kiwe cha FTA
Tambua kuwa kuna decorder za kulipia kila mwezi ili uweze kuona channel za Tv kama vile Azam tv, Dstv, Ting n.k na pia kuna decorder ambazo ni free ambazo haulipii ili kuona channel za Tv na hizi decorder tunaweza kusema ni FTA receiver/decorder na ndiyo ninayoitumia ila decorder yangu imo ndani ya flat screen yaani ni builtin decorder.
Pia hata kama Tv yako haina decorder kwa ndani, unaweza ukatumia zile decorder za madishi makubwa tuliyokuwa tunatumia kipindi kile cha analogia. Mfano kama una receiver/decorder ya mediacom au hata decorder inayoitwa Strong nayo inafaa sana.
Baada ya kujua ni decorder/receiver gani zenye sifa ya kukuwezesha kuona channel nyingi za bule zikiwemo zingine nyingi tu.
Kama una dishi dogo la ku-band kama la ni la Dstv au Startimes au Ting n.k kati ya hayo yanafaa. Elekeza dishi lako mashariki na anza kufanya installation kwny decorder yako kwa kuchagua satellite inayoitwa Amos 5 17 E, Freq 11665 V 45000, 11595 V 30005, 11631 V 1499 na kwenye sehemu ya LNB FREQ NI 9750/10600.
NB. Utaweza kufanya kama una idea na haya mambo. Kama utakuwa unahitaji maelekezo ya ufundi uni PM namba yako tutawasiliana.
Ni inch ngapi hiyo LG yako?maana si LG zote zina decorder za ndani.Kilichokua kinakikanganya na kuhusu hizo TV zenye decoder za ndani kwa ndani. Kwa sababu hata sisi tuna Tv ya LG ni kubwa kama uliyo nayo lakini sijawahi kudhani kama utakua na hicho unachosema...
Ni
Ni inch ngapi hiyo LG yako?maana si LG zote zina decorder za ndani.
Naona kimechokuchanya hapo ni neno dstv.
Nachotumia hapo ni dish pekee la dstv au Dish la Azam au startimes na wala sio visimbuzi ya kampuni ya hayo madish badala yake unakuwa na visimbuzi chochote ila kiwe cha FTA
Tambua kuwa kuna decorder za kulipia kila mwezi ili uweze kuona channel za Tv kama vile Azam tv, Dstv, Ting n.k na pia kuna decorder ambazo ni free ambazo haulipii ili kuona channel za Tv na hizi decorder tunaweza kusema ni FTA receiver/decorder na ndiyo ninayoitumia ila decorder yangu imo ndani ya flat screen yaani ni builtin decorder.
Pia hata kama Tv yako haina decorder kwa ndani, unaweza ukatumia zile decorder za madishi makubwa tuliyokuwa tunatumia kipindi kile cha analogia. Mfano kama una receiver/decorder ya mediacom au hata decorder inayoitwa Strong nayo inafaa sana.
Baada ya kujua ni decorder/receiver gani zenye sifa ya kukuwezesha kuona channel nyingi za bule zikiwemo zingine nyingi tu.
Kama una dishi dogo la ku-band kama la ni la Dstv au Startimes au Ting n.k kati ya hayo yanafaa. Elekeza dishi lako mashariki na anza kufanya installation kwny decorder yako kwa kuchagua satellite inayoitwa Amos 5 17 E, Freq 11665 V 45000, 11595 V 30005, 11631 V 1499 na kwenye sehemu ya LNB FREQ NI 9750/10600.
NB. Utaweza kufanya kama una idea na haya mambo. Kama utakuwa unahitaji maelekezo ya ufundi uni PM namba yako tutawasiliana.
Kama una Tv yenye king'amuzi cha ndani kwa ndani na unayo hayo madishi madogo ya Azam tv na Dstv unaweza kuyatumia kwa kupata FTA channel ila kwa hizo decorder za kampuni ya Dstv na Azam tv huwezi kukamatia FTA channel kwani ziko ktk mfumo wa malipo wa kila mwezi.kwa mimi ninayetumia TV yenye decoder ya ndani, nina Ving'muzi vya DSTV na AZAM TV naweza kufanyaje hapo kwa kutumia utaalamu wako ili nisiweke tena antenna ya nje ambayo nilikuwa naitumia before lakini sasa sijaiweka .nipate FTA kwa kutumia tu hizo decoder yaani DSTV na AZAM TV.
Ukitumia direction hiyo hiyo ya dishi la Azam tv unapata na utumie installation setting za king'amuzi cha Azam tv.Mkuu kwa kutumia direction Ile Ile ya DSTv au AzamTV siwezi kupata FTA channel kwa kutumia built in decoder ya TV?
Hivyo unavyovitaja vyote vipo, nataka ufunguke namna gani ya kupata hizo FTA channel. Nataka unipe procedure.Kama una Tv yenye king'amuzi cha ndani kwa ndani na unayo hayo madishi madogo ya Azam tv na Dstv unaweza kuyatumia kwa kupata FTA channel ila kwa hizo decorder za kampuni ya Dstv na Azam tv huwezi kukamatia FTA channel kwani ziko ktk mfumo wa malipo wa kila mwezi.
Receiver ya kawaida ndio receiver gani hiyo ?NO hapa dish ni hiyohiyo moja la azamtv, we toa cable kwenye lnb in hapo hamishia kwenye receiver ya kawaida. Hapo ingiza frequency uliyopewa then search .
DISH NI MOJA TU
Nmeshatoa maelezo au post jinsi ya Kufanya . Uni PM namba yako nikuelekeze.Hivyo una
Hivyo unavyovitaja vyote vipo, nataka ufunguke namna gani ya kupata hizo FTA channel. Nataka unipe procedure.
HIVI HUWA NI "EMBU" au "EBU"embu
Uni PM namba yako nikuelekezeReceiver ya kawaida ndio receiver gani hiyo ?
Na iko wapi ?
Post namba ngapi?N
Nmeshatoa maelezo au post jinsi ya Kufanya . Uni PM namba yako nikuelekeze.
EMBU+ EBU = HEBUHIVI HUWA NI "EMBU" au "EBU"
napita tu maana situmii kisimbuzi hicho
nimepost hapo juu yako msaada tafadharUni PM namba yako nikuelekeze
Mkuu maelezo uliyoyatoa ni kwa wale wanaotumia receiver, mi naongelea case ya decoder za ndani kwa ndani ambazo hazitumii receiver. Unafanyaje kwa kutumia TV tupu bila decoder au receiver yeyote.N
Nmeshatoa maelezo au post jinsi ya Kufanya . Uni PM namba yako nikuelekeze.