Kwanza hiyo frequency angalia vizuri kama umeandika sawa ina miss digit moja ambayo ni 1 inabidi iwe 11192 Au 11190. Na hakikisha ume add satellite usiingize hizo kwa satellite inayotumika na azam.
ukiadd hiyo satellite unai edit pia kama degree 7° na weka east.
then save halafu scan hiyo satellite yako mpya.
utafurahia mkuu
Mkuu samahani, unaposema RECEIVER na DECORDER, hapa unanchanganya! naomba na msaada wa kupata hizo channel 7, how?
Nashukuru, naifanyia kazi mkuu, ntakupa mrejesho!
Mkuu nimeingiza kama ulivonambia, shida sasa ni hii: NO TRANSPONDERS, PLEASE ADD
Ukifika kwenye satellite list itadisplay upande mmoja satellite name na upande wa kulia utaona frequencies, hapo bofya arrow ya kulia kuhamia upande wa freq then pale bofya add uingize freq zako kwenye transponder
Mii mpaka hapo ninafika mkuu lkn bado sifanikiwi!
kwa vile utakua na satellite zaidi ya moja maana umeongeza hiyo yako kwenye satellite list scroll hadi hiyo unayotaka kutumia then bonyeza mshale wa kulia chini utaona rangi bofya add utaona tp freq,pol na symborate ingiza hapo
Transponder naingiza namba zipi?
Symborate naingiza namba zipi?
By default Polarization inasom H, naweka ipi?
Azamtv kwa maoni yangu ndio runinga bora kwa zile runinga za akina mimi,kutokana na hali ya maisha ilibidi niache DSTv (baba yao) na pia Zuku nimewaacha na nimejiunga na Azam tv na sija regret hata kidogo,nafikiri ndio TV stesheni pekee ambayo utapata channels nyingi kutoka Kenya,Uganda na Zambia,pia kwa wale wanaopenda kuchkuch (I am a disco dancer) zipo station nyingi tu pia za uarabuni ndio usiseme.Kasoro niliyoiona na ambayo sina uwezo nayo ni station za kimataifa zinazotumia Kiingereza kuwa 2 tu yaani BBc na Al-Jazeera kwa hiyo kwa tuliozoea makala,habari za kimataifa inakuwa shida ,pia channel ya Nature haipo,kwa wale wapenda wanyama.
Kuhusu EPL wanatumia WBS ya uganda ambao huonyesha EPL siku ya Jumamosi tu tena ni mechi moja tuna mwisho katuni kwa watoto chanel zipo mbili tu moja ya kiarabu na mojaya kiingereza,lakini kwa kifupi kwa kulipia 12500 kwa mwezi Azam wameturahishia gharama,bado sijafikisha mwezi toka nijiunge kwa sijajua FTA kama wanaonyesha hata kama salio limeisha ingawa wameandika kuwa wanaonyesha.
Mikowan zinakuja lin mfano arusha
Wadau wote kwa pamoja embu tupeane elimu ya nin una fahamu kuhusu azam tv.. Binafsi natoa freequence hapa na matumiz yake karibuni wote.
UPDATE...
................................
Kama una dish la azam umelifunga na linafanya kazi vizuri,chomoa io decoda ya azam tv,chomeka receiver ya FTA{kama unatumia madish haya ya futi 6 na unaipata itv na nduguze} edit io sat ya intel 906 kwa kawaida inakuaga ya kumi na sita,alafu chagua io inayo fata ambayo ni ya 20, kisha tumbukiza frequence hizi.
12728h,30000 simborate utapata free chanel bureee.
AZAM TV hata kama salio linakata channel za TZ,Kenya na Uganda zinaendelea kuwa hewani.Kwa 12,500 unaiyona Value for money na labda niwashauri Azam tv waongeze package moja kwaajili EPL hata kama bei itapanda ili wapenda soka wanunue hiyo package kwa nyongeza fulani kwani ukweli EPL ni expensive kidogo.
kuzipata hiz channel lazima dish liwe uelekeo wa king'amuz cha azam tu au hata uelekeo wa chanel za fta kwa dish la ft 6 naweza zpata?