Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Tangu ifungwe azam tv hapa yapata siku ya 6 leo na azam channel bado hazijafunguliwa. Kila nikiwapigia wanasema tumefungua shida ni ipi hapa, na zile added set & channel nazipata vizuri.
 
mkuu uko wapi na ulinunua bei gani king'amuzi pekee maana huku mara wanazingua eti lazima ununue vyote pamoja kwa bei ya 150000.nimeamua kutumia mpg4 yangu kwa sasa

upo mara kama mimi...nitafute pm mkuu
 
Tangu ifungwe azam tv hapa yapata siku ya 6 leo na azam channel bado hazijafunguliwa. Kila nikiwapigia wanasema tumefungua shida ni ipi hapa, na zile added set & channel nazipata vizuri.

kaka kama hazijafunguliwa pm no yako nikupe ma elekezo zaidi
 
EARPHONE
Umefungaje lnb (ku au cband) pale juu, tupe maelekezo tuyape thamani mpya haya 6ft.
 
Last edited by a moderator:

Msaada wako mtoa mada,ninaomba unipatie freq za bure za azam mfano muvi combo n.k nimezipoteza nilipokuwa ninasearch.
 
Msaada wako mtoa mada,ninaomba unipatie freq za bure za azam mfano muvi combo n.k nimezipoteza nilipokuwa ninasearch.

penda kujishughulisha mkuu hakuna ugumu wowote ule wa kupekua ktk huu uzi kila kitu kipo humu.
 
Safi sana uzuri wa Jamii Forum inaruhusu watu kujinadi bure na sie wengine tunapata maujuzi, ila nitafanyaje sasa nataka nitumie dish moja nipate Azam na channel zingine zote local ITV, Star tv na zinine za nyumbani maana siwezi kuwa na madish matatu, si unajua nyumba zetu siku tunajitahidi kuweka socket ya Tv na cable za Tv zinatambaa juu ya dari
 
penda kujishughulisha mkuu hakuna ugumu wowote ule wa kupekua ktk huu uzi kila kitu kipo humu.
Chezea dish wewe, watu channel zikiroga anaitwa fundi haya mambo yanahitaji ujuzi na uzoefu hasa kwa wale wa Dar ambao muda mrefu walikuwa wanapata free transmission kupitia antenna tofauti na mikoani unaweza ukamwita jirani. Kama unaweza mpe maujuzi ya ziada ndugu yetu dasenior
 
Last edited by a moderator:
Aljazeera sport haipo wamebadilisha jina wanaitwa binsport tufuatilie mambo.
 
mkuu nimesha elekeza sana hii kitu humu ndani tatizo watu wavivu kujishughulisha kusoma... ktk huu uzi kila kitu anacho kiitaji kipo sijui kwanini apekui.?
 
Last edited by a moderator:
mkuu nimesha elekeza sana hii kitu humu ndani tatizo watu wavivu kujishughulisha kusoma... ktk huu uzi kila kitu anacho kiitaji kipo sijui kwanini apekui.?

Boy haya mambo yanahitaji utundu na akili ya ziada binafsi ni mchonoaji hadi ninajua ila nilipokwama ni kwenye kupata kile nilichopoteza ila poa nitacheza na huu uzi i hope nitazikuta njiani
 
Labda sijafafanua vizuri mimi ninatumia decoder ya Azam tv sina hiyo ya FTA
 
Last edited by a moderator:
Labda sijafafanua vizuri mimi ninatumia decoder ya Azam tv sina hiyo ya FTA

Ngoja wataalamu waje mie nilikua napiga chapuo jamaa atiririke maana mie huku nilipo tulishazoea kutumia cable operator ambao wana channel za kumwaga hivyo uzoefu wa dish sina sana zaidi ya kusearch tu
 
Jamani nataka ninunue dish la azam je naweza kuliset mwenyewe bila msaada wa fundi ?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
hivi unatakiwa ufanyaje ili uzipate local chanel za hapa bongo kupitia dish la azam free?
 
star movies zote free kwenye azam tv... 11938v27500 changamka kabla hazijatowka
 
ni ses5 na sio 7e ya azam mkuu labda kama hilo dish limebalancewa kati ya hizo sat mbili lakini startimes wapo sat moja na zuku kama unadecoder ya zuku ingiza hizo utazipata au receiver yoyote ya mpeg 4 utapata bdo zipo fta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…