mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,368
- 6,532
ei ebu naomba nielekeze pale kwenye kuadd satellite umejaze mkuu nisaidie hizo channel ukiwa nazo c haba Niko mby napatikana 0764 686252
Azam majanga tu mawingu kidogo hola kurudi hadi badae sana mi nakereka mno mvua ndo usiseme bora hata analojia startimes inadunda tu!!
add setelite ya ses 5 longitude 5 east ingiza hizi frequency 12054v29950,12034h27500 na 12015v 29950
kama ukifunga dish la azam vizuri kwa signal za wastani basi una uhakika wa kupata sat 3 kwa mpigo nikimaanisha ses, uetel, na madagascar aka ku Kpass 7/10 zote kwa pamoja,sasa ikitokea izo signal ziko juu sana lazma ses ita kisumbua tu mana iko chini kidogo mkuu apo ndo itakulazimu upande juu ya bati.
Kaka hapa ndo pazuri sasa mwanzon nyuma nilijaza pass 7 nikapata kama 20 safi zikiwepo zile rodrigas, mocambique na wenzie kwa kisimbuz hikihiki cha azam.
Leo nimejaza ses 5 na frequency zile ulizotaja, nimeskan nikapata tv kama 20 na radio 7
Tv kama vile
Stone, family tv, surya, EWFN, zuku enterrainment. Zuku family, zuku life n.k ila mazuku tv kibao
Sasa zote hazioneshi naona giza tu isipokuwa zuku zone pekee.
Nisaidie hapo nini tatizo na ile ulioitaja ya mpira sijaiona. Kwenye radio ipo hadi Clouds fm ila haisikiki pia
Izi sat nyingine ulizotaja naomba freq
Thanks mkuu kwa msaada
Pia nna recever ya FTA ya mpeg 2 ya dish la KU inaweza nisaidia chochote kwenye haya mambo. Nipo kilosa moro
izo hauwezi kuzifungua kwakua ni pay tv,kuhusu io mpeg2 yako kwa sasa haina mana tena tafuta mpeg4.
imekataa kabisa signal bado inasoma 16 max
Mkuu nmeweka hiz freq nimepata samanyolu tv tu na inascrach sana, nfanyeje na pale longtdunal ipo 68.8add setelite ya ses 5 longitude 5 east ingiza hizi frequency 12054v29950,12034h27500 na 12015v 29950
Naombeni Maujanja,
Nnatumia AzamTV,kuna fundi alikuja kuniongezea Dish(Ku-Band) pamoja na
Diseq kwa ajili Channel za Dini za Nigeria(Eutelsat 20 68.5E, lakini
Azam Decorder ilikataa kufanya kazi kwenye Diseq switch ya 2.0 tulipo
jaribu kufanya kila njia then Decoder ikakorapt ikawa haitaki kupoea
tena signal. Ila kwenye receiver ya Azamtv kwenye setting zake
inaonyesha Disecq type ni 1.0
Je hilo lazewa kuwa ni tatizo!?
Msaada tafadhali.
io sat hapo wewe ndo unatakiwa uiweke,longtude ujaze wewe na izo TP ujaze wewe.... ningeweza kuweka picha humu ila cm yangu inasumbua,ila kama una wasapu nitafute nikutumie picha na maelezo yake namba yangu niliiweka humu jamvini.Shukran kwa Ph-25 na wadau wengine waliotoa msaada katika uzi huu.
Kwa kiasi fulani nimeelewa na nimejaribu na nimefanikiwa japo si kwa asilimia 100.
Nimevutiwa na mambo kadhaa ktk uzi huu, kuna watu hawakujua chochote ila baada ya kufuatilia na kuuliza
hatimaye wameelewa na kutoa msaada kwa wengine. Inafurahisha na inatia moyo kwamba tunaweza
kushirikiana na kufanikisha kwa kila mmoja. Hongereni sana japo kuna baadhi walitaka kuleta vurugu ya kuwatoa
katika kile kinachojadiliwa. Pamoja na yote nina maswali kadhaa kwa ajili ya ufahamu wa sawa juu ya kisimbusi cha Azam TV.
Unaposema add setelite ya ses 5 longitude 5 east ingiza hizi frequency 12054v29950,12034h27500 na 12015v 29950, hapo naomba ufafanuzi kidogo. Hiyo setelite ya ses 5 unaandika kama hivyo ilivyo au ipo automatical na je LNB unajaza au unaweka ipi?
Nazungumzia kisimbusi cha azam tu, naomba majibu kama swalilimeeleweka mtaniwia radhi mimi sijui habari hizi nagandamizia hapa hap