Kupitia satelite ya Ses@5e niwezeka kupata channel 12 zinaandika tu majina na moja ina odm test inaonekana ipo katika matengenezo frequency ni 11785 V 27500 kama mtaalamu anaweza ongeza ujuzi zioneshe itakuwa pouwah sana maana kuna channels kama Kzn, Sabc 1-3, eTv, star gospel, tshwane tv, one music, mindset, astv, deen tv na odm test
10804 h,30000
happy hunting
Wadau, nawezaje pata Emmanuel TV?
Kama hapo mkuu umeweka frequency symborate na polarity yake. jaribu uweke pia angle na satellite yake itasaidia sana, hii pia itumike kwa yeyote anae leta frequency ya channel mpya.
Kwa frequency uliyo weka hapo juu mimi sijui niweke kwenye satellite ipi.
Samahani kwa kukusumbua unajua mi bado mgeni kwa huu ulimwengu ndo najitahidi kujifunza kupitia nyie wazoefu
mkuu hapo nimemjibu mdau uko juu,izo frqnce ni mpya za kupata chnl za rdv,stv,orbt,tv togo, zinatumika ktk sat ya eutelsat16@16e, kama ungefatili tililiko vzr ungeelewa.
Uzii huu nikwajili ya azam TV, ingekua vizuri wadau mgechangia yanayo husu position/angle au receiver ya azam TV...FTA ambazo ziko that angle ndio zakuongelea hapa..no hayooo tu
Soma vizuri post yangu iliambatana na maelezo ambayo yalikuwa kwenye mfumo wa swali ambalo lipo very clear
Kupitia satelite ya Ses@5e niwezeka kupata channel 12 zinaandika tu majina na moja ina odm test inaonekana ipo katika matengenezo frequency ni 11785 V 27500 kama mtaalamu anaweza ongeza ujuzi zioneshe itakuwa pouwah sana maana kuna channels kama Kzn, Sabc 1-3, eTv, star gospel, tshwane tv, one music, mindset, astv, deen tv na odm test
io e tv ni ipi,kama niile ya ethiopia,niyakulipia,kama ni e tv hyde pack ya south,wewe ni muongo haiko angle io ile iko astra 4a nyuzi 28.2,kama ni equenox tv nakubaliana nawewe,apo itafunguka,swali linakuja kwani sasa apo kwako haifunguki..? Sbc zote ni zakulipia.
Mkuu je unaweza kuadd new frequencies katika king'amuzi cha AZAM TV ili kupata FTA Channel katika SAT ya Eutelsat 7A- 7.0Eusijari mkuu,penye ukweli uongo ukaa kando,nimemuuliza maswali apo juu naomba ayajibu hayo maswali.