Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,221
unakwama wapi mkuu,mbona ilo zoezi dogo sana.?tukifika sat mnyororo sindo utapasuka medula... Niwekee picha nione hapo unapo kwama,mpaka utaelewa tu mwaka huu.
teh teh teh naona saizi umekua nyanya iliyo iva,sio tena mbichi... karibu tena kwa msaada zaidi
Stil more fta freqnc needed here pal's.
teh teh teh ongera yako kaka,kazi nzuri umefanya.
homgera na shukrani nyingi ni kwako kipindi nafunga kuna watu waliniambia niwatoe 40000 waniingizie chanel ambayo itakua inaonesha epl 1 kwa wiki free nadhani ndio hizi.
teh teh teh wa tz bna kila kitu njaa tu,sijui kama tutafika,any way nitaweka frqnce nyingne inayo onesha epl,na bundesliga soon.
kaka itakua poa sana ,ila kama ww ni mweusi kama mama itakua ulizaliwa kimakosa "ashakum c matusi" ni watanzania wachache sana wenye moyo kama wako.
.Watu weusi wengi wao hatupendi maendeleo ya wenzetu.
Naamini kwa 100 per cent elimu hii unayoitoa ww bure kuna raia wanapiga pesa.The way navyowajua wabongo.
sat ya azam ni Eutelsat East 7A
sat nilio-add ni PAS 7 10 68 5
Freq
12728H30000
12520H27500
11192H03210
hapa mkuu ndio sipati kitu so naomba nijue tatizo langu liko wapi.
Kuna sehemu nimepita nikaona kuna mdau katupia hizi frequency 11144H5714 na 12646H30000 zinashika channels gani kwenye azamtv mie niko away ningeweza testMsaada kaka jinsi ya kuzi-set hizo sate kwenye king'amuzi cha azam!
Okay ngoja tusikilize na wadau wengine wanasemaje. Ahsante kwa mchango wako pia.naisi kuna chanel za canal+,muvicom na nyingne za congo kama kumbukumbu yangu bdo hai apo mkuu mana izo frqnc nimetumiaga kitambo sana.
Jamaa wa milan cable wanatuonyesha EPL nzima kwa 20000 mnaoishi dar msiniulize tulieni hivyohivyo wa mkoa tufaidi.
Kuna sehemu nimepita nikaona kuna mdau katupia hizi frequency 11144H5714 na 12646H30000 zinashika channels gani kwenye azamtv mie niko away ningeweza test