Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Dish lako liko direction nyingine ambayo sio ya Azam
Hapo ulipo shusha kidogo ikichezesha kulia na kushoto utazipqta za azam
 
*Jmn hv kuna mtu app ya azamTv inaonesha inaonesha chanel za mpira kama sport hd na azam sport 2 hasa mchezo wa simba na mashujaa maana kwangu nina kama mwezi hazioneshi wananiandikia eti wapo kweny maboresho ya app, hv ni kwangu tu au na kwenu pia hazionyeshi??*
Screenshot_20191014-163706_Azam%20TV.jpeg
 
Back
Top Bottom