litakudodea, si unakumbuka digrii haitunzi mme?
Mwaya, degree inakupa plan A na B ya maisha hata mme asipokuwepo.
Kwani ww unajionaje? Mme ana nafasi gani maishani mwako ukimlinganisha na digii au kazi?
Baba yako as a man himself, knows better!
not only knows better but has seen a lot.
mpaka ana air out this tayari ana reference mbili tatu kichwani.
For me kazi yangu inayoniingizia kipato halali ni mume wangu wa kwanza, and baba Klein anafwata kama mume wa kufanya complete set tu. But niliyefunga nae ndoa wa kwanza ni kazi yangu ambayo ni output ya elimu yangu.
Baba anasema elimu yako ndo mume wako. Soma mwanangu chonde chonde elimu yako ndo mume wako. Kuolewa ni
rizki too after mafanikio ya mume elimu. Jamani kweli hiii lakini. Maana generation za sasa tunabanwa sana na wazeee
tusiolewe mpaka tumalize degree. Jamani hembu ushauri kidogo. Baba yuko sawa hapa????
Elimu ndo mume mpenzi, kwanza hao 2naowaita "mume" siku hizi hawapo. mskilize baba coz kaona mambo mengi kukuzidi.
Elimu kwanza hayo mengine baadae
hata usipokuja olewa elimu yako itakusaidia
hayo ni maisha ya baba
tunatofautiana mitazamo na preference.
As much as elimu ni muhimu, mwanamme ni wa muhimu zaidi. Mtu anaolewa na elimu/kazi yake baada ya mme halisi ama kukosekana ama kushindwana.
Hii haiwahusu wale waliamua kuwa waseja.
Yupo JF, na anaijua ID yako ya JF, na anasoma comments zako za JF.not only knows better but has seen a lot.
mpaka ana air out this tayari ana reference mbili tatu kichwani.
For me kazi yangu inayoniingizia kipato halali ni mume wangu wa kwanza, and baba Klein anafwata kama mume wa kufanya complete set tu. But niliyefunga nae ndoa wa kwanza ni kazi yangu ambayo ni output ya elimu yangu.
Elimu ni kaufunguo tu ka maisha, na sio mlango wa maisha, milango ya maisha iko waaazi hatuitaji funguo.....hahahaha..Baba anasema elimu yako ndo mume wako. Soma mwanangu chonde chonde elimu yako ndo mume wako. Kuolewa ni