Ukaridayo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 508
- 470
Wakuu; mara nyingi nimesoma shauri mbali mbali humu humu jamii forum kabla hujafanya maamuzi ya kununua gari, lakini hiki kitu cha 2wd 4wd au rear huwa hakizungumziwi sana ktk shauri kwa mana ya faida na hasara..
Nimeona gari nyingine zikislip sana kwenye korogeshen hasa zile zinazosukumwa kwa tairi za mbele ukitofautisha na tairi za nyuma.
Mwenye uelewa juu ya mifumo hiyo faida zake na hasara atujuze hapa.
Nimeona gari nyingine zikislip sana kwenye korogeshen hasa zile zinazosukumwa kwa tairi za mbele ukitofautisha na tairi za nyuma.
Mwenye uelewa juu ya mifumo hiyo faida zake na hasara atujuze hapa.