Elimu na maarifa ya ziada

Elimu na maarifa ya ziada

Hatiamaye nimepitia "kurasa" zote! Ni nzuri sana.

Big up kwa muandaaji. Kazi yako haijawa bure!

Umesambaza maarifa!
 
Hongera sana ..naona ilikuwa tangu jana usiku💪🏿✌🏿🙏🏿
Ilikuwa kama "kamkesha" fulani hivi!

Huwa nina udhaifu mmoja! Nikikutana na Andiko ninalolipenda, siridhiki bila kulisoma lote. Wakati mwingine naweza kuahirisha baadhi ya majukumu (kama sipo chini ya usimamizi) ili nisome tu!
Kuna mkubwa wake ukipata wasaa tena naye muone

(7,161) Elimu ya maarifa: Je, wajua? | Page 42 | JamiiForums Elimu ya maarifa: Je, wajua?
Nimechungulia kidogo... ni nzuri lakini sitaki kuichokoza muda huu! Ina kurasa za kutosha kusoma kwa siku nzima, 42pgs. Nitadili nayo kesho nikiwa safarini, kwa majaaliwa ya Mwenye Mungu!
 
Ilikuwa kama "kamkesha" fulani hivi!

Huwa nina udhaifu mmoja! Nikikutana na Andiko ninalolipenda, siridhiki bila kulisoma lote. Wakati mwingine naweza kuahirisha baadhi ya majukumu (kama sipo chini ya usimamizi) ili nisome tu!

Nimechungulia kidogo... ni nzuri lakini sitaki kuichokoza muda huu! Ina kurasa za kutosha kusoma kwa siku nzima, 42pgs. Nitadili nayo kesho nikiwa safarini, kwa majaaliwa ya Mwenye Mungu!
Poapoa mdogo mdogo tuu
 
FB_IMG_1749964870913.jpg
 
Some Important Facts to Understand About Iran 🇮🇷 and Israel 🇮🇱

Iran 🇮🇷 is not an Arab country; it is predominantly Persian.

Israel 🇮🇱 is not a Christian nation; it is predominantly Jewish.
The Jewish people practice Judaism, not Christianity ✝.
In Israel 🇮🇱, both Christianity and Islam are minority religions, but there are more Muslims than Christians.

Iran 🇮🇷 actually has a larger Christian population than Israel.

There are more Arabs in Israel 🇮🇱 than there are Christians ✝.

Preaching Christianity is easier in the United Kingdom 🇬🇧 than it is in Israel.

Iranians 🇮🇷 speak Persian (Farsi), and only a small minority speaks Arabic.

Iran is the leading Shia Muslim nation and often at odds with Sunni Islamic doctrine, which is led by Saudi Arabia.

If the only reason you support Israel is because it is mentioned in the Bible or you believe it is a Christian country, then you are wrong.

If the only reason you support Iran is because you think it is an Arab nation or simply because it is predominantly Muslim, then you are wrong.

If your support is not based on who is right or wrong, who breaks international laws, or who upholds justice and fairness; but is instead based solely on religious sentiment, then, you are not standing for truth, fairness, or humanity. You are simply acting out of religious bias.

Let us stand for truth, justice, and human dignity; no matter who is involved.

Let’s get informed. Knowledge is power.
 
Back
Top Bottom