GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,648
- 10,844
Hawajipendi hao!
Hawajipendi hao!
Aliumbwa kwa ajili hiyo?
Kwa matumizi yapi? Ana faida gani?
Mtoto kawezwa hasa!
Siri yao kubwa ni nini?
Ohoo! Mbona sikufundishwa hilo shuleni?
Bei ya "statue" inatosha kuagiza IST toka Japan!
"Walevi" wana tabu!Anaweza hata kufa kutokana na sumu yake mwenyewe
Kuna la kujifunza kwao!Mpangilio wa maisha
Kula kwa wakati na kula sahihi
Kufanya kazi kwa wakati
Kupumzika/kulala kwa wakati