GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,648
- 10,844
Masaa 14 mfululizo?
Wanaume wanapitia mengi!
Hakuwa mchawi?
Kweli!Sasa mpaka ufikishe hizo mbegu 200 utakuwa umekula mangapi😀
Ni kweli ingawa sikuwa nafahamu!
Sijui ingekuwaje kama angelikuwe ni wa Tanzania!
Sasa hapo si kuna hatari ya "kula" maji mabichi?
"Kudonoa" kupo kwenye DNA yake?
Wanaitana kwa majina?
Kuna watu "wamepinda" hasa!