lightning
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 355
- 597
USINIPAGHIE!!!Kuna tangazo limekuwa likirushwa kupitia Luninga na vituo vya redio na kupitia tangazo hilo imekuwa ikisikika sauti ya mheshimiwa Rais akiwataka Tanesco kukata umeme popote pale bila kuogopa.
Mheshimiwa husikika akikazia
KATA!!!! na baadae anasema ni maneno mawili, 'KA' na 'TA'
jamani hayo siyo maneno Bali ni kwa lugha rahisi ya kiswahili zinaitwa silabi ambazo ndizo zinazounda neno KATA.
Najuwa wengi mtakuwa mmeelewa hata kwa wale ambao mlikuwa hamjui