Elimu kuhusu .YouTube.

Elimu kuhusu .YouTube.

Kwa tanzania huwezi lipwa kwa watu kutazama video zako, ila unalipwa kwa watu kubonyeza matangazo yatakayo jitokeza pindi mtu anatazama video ulio Upload, naunganisha ads kwenye youtube kwa Sh 15000 nichek kupitia 0743497079
Hebu acha kudanganya umma ili uwaibie hizo elf 15, Ukiupload video youtube kuna kipimo cha cpm endapo umemonetize video zako, cpm inamaanisha malipo kwa viewers 1000 ambapo kibongobongo hio cpm huwa ni buku mbili jero kwa kila viewers 1000 na mpunga unauchukua kwa urahisi zaidi weatern union.

Hapa tupo kusaidiana na sio kufanya ujinga wa watu kutojua kitu fulani kiwe mtaji kwako kwa unayejua kwa kuudanganya umma kwa kujifaidisha na hizo elf 15 zako
 
Mkuu karibu tena ..utupe darasa huru tena la ilo kuhusu kulipwa kwa views km ulivyo sema cjui cpm karibu mkuu ili tufaidike zaid
 
Wakuu hii ni moja ya fursa, mimi siyo mwana mziki nataka kubuni video fupi fupi zitakazovutia na kutazamwa na watu wengi bila shaka naweza pata mkwanja pia? Naomba ideas za video hizo?,!!
Kwel mkuu hii ni fursa sana ..ndomana nmeanzisha uzi huu..ht mm nataka kufika huko so naanza nattafuta darsa kidogo
 
Sio lazima ubofye matangazo, kuna matangazo ya video pia, yale yanayopita kabla hujaanza kutizama video. Yale ndio yanaingza pesa nyingi balaa coz yanaonekana na kwenye simu pia! Yale ya kuclick yanaonekana kwenye pc tu. Na hayana pesa nyingi
Mkuu wanalipwa vp na watu wa MATANGAZO ikiwa anaetaka kutazama picha husika ATA-SKIP kipande/vipande vya MATANGAZO....!!?

Huo sio WIZI wa WAZI..!!
 
Hebu acha kudanganya umma ili uwaibie hizo elf 15, Ukiupload video youtube kuna kipimo cha cpm endapo umemonetize video zako, cpm inamaanisha malipo kwa viewers 1000 ambapo kibongobongo hio cpm huwa ni buku mbili jero kwa kila viewers 1000 na mpunga unauchukua kwa urahisi zaidi weatern union.

Hapa tupo kusaidiana na sio kufanya ujinga wa watu kutojua kitu fulani kiwe mtaji kwako kwa unayejua kwa kuudanganya umma kwa kujifaidisha na hizo elf 15 zako
Hapana mkuu, CPM sio malipo ya views 1000, ni Cost Per 1000 impressions. Hyo M ni 1000 ya kirumi. 1000 impressions ni matangazo 1000 ambayo yameonekana kwenye video yako.

Na cost haimaanishi revenue, kuna makato na hesabu zingne.
 
Mkuu wanalipwa vp na watu wa MATANGAZO ikiwa anaetaka kutazama picha husika ATA-SKIP kipande/vipande vya MATANGAZO....!!?

Huo sio WIZI wa WAZI..!!
Ikitokea ameskip ndo bahati mbaya, lakin kuna matangazo yanayovutia mpaka mtu anatazama lote. Kwa hyo sio kila mtu ataskip tangazo. Mfano, tusema mtangazi anataka kulipa USD 0.1 kwa kila view ya tangazo lake (bila kuwa skipped), video yako imetazamwa na watu 100,000, kati ya hao watu 50,000 ndo wameoneshwa hilo tangazo na watu 1,000 tu ndo wameangalia tangazo in full. Basi kiasi ambacho video yako itaingiza ni 1,000 x USD 0.1 ambayo ni sawa na USD 100. Youtube wanachukua 45% ya revenue. Manake wewe uatabkiwa na USD 55.
 
Ahsante MKUU kwa kunipa MAARIFA, Ila sina uhakika hivi lile tangazo la mtandao fulani wa simu......lina SLOGAN wanasema "JAZA UJAZWE"

Swali ni je !? LIMEKWISHA TOLEWA VIDEO YAKE...!?

Mimi bado nauona ujumbe huu pindi ninapo weka muda wa MAONGEZI...

Natarajia VIDEO ya tangazo hilo ikitoka nimuone yule JAMAA yao MCHEKESHAJI...Akiigiza akiwa na UJAUZITO...!!

Nitaomba mrejesho ikitoka VIDEO...!!
 
Wakuu hii ni moja ya fursa, mimi siyo mwana mziki nataka kubuni video fupi fupi zitakazovutia na kutazamwa na watu wengi bila shaka naweza pata mkwanja pia? Naomba ideas za video hizo?,!!
Duh yaani kiongozi unawazo Kama langu.
Unacamera gani mkuu.
 
Kwaiyo mfano mkuu juz kat diamond .nna wasanii wengi walikuwa wanansema au wanatangaza jinsi wanavyoingiza mkwanja mrefu kupitia youtube ni kupitia matangazo na sio kupitia watu kuviews videos..
Ni kipitia Matangazo ila Kama Amekidhi vigezo anaweza kulipwa kwa Pay Per Views (Ila hii kwa Afrika Mashariki inapatikana Rwanda)
 
So wasanii wanaingizaje vipato vyao sasa Mkuu kama kubofya matangazo

Ndio kinacho angaliwa
wanaingiza kipato na hizo click za matangazo, yaani mtu akibonyeza tu pesa inaingia (ila hapa nazungumzia Tanzania)
 
Nje ya mada kuna tangazo linaitwa Hostgater yaani ni kero kinoma,nalitoaje maana hata hiyo adblock sijui inatumikaje
Mkuu Hilo ni Tangazo la Youtube na Mala nyingi linakuwa la Video (Huwezi kublock), sasa hapo kitendo cha kukaa Sec 5 Unalitazama basi iliye Upload Video ambayo ulitaka kuitama ameingiza pesa
 
Sio lazima ubofye matangazo, kuna matangazo ya video pia, yale yanayopita kabla hujaanza kutizama video. Yale ndio yanaingza pesa nyingi balaa coz yanaonekana na kwenye simu pia! Yale ya kuclick yanaonekana kwenye pc tu. Na hayana pesa nyingi
Yah! Zinaitwa skip ads kama sijakosea
 
Mkuu wanalipwa vp na watu wa MATANGAZO ikiwa anaetaka kutazama picha husika ATA-SKIP kipande/vipande vya MATANGAZO....!!?

Huo sio WIZI wa WAZI..!!
mtazamaji akiskip ads hutapata hela Ila akitazama tangazo kwa sekunde kadhaa ndo unapata mpunga
 
Amani kwenu wadau..

Wadau nahitaji kufahamu au kujua jinsi ya ku upload video youtube yan kuwa na channel au account yng ambayo ntakuwa naweka videos zangu yan kujisajil pia na vigezo vyake vinavyo hitajika iyo mosi.....

Pil..je ni vipi malipo yanalipwa kupitiz kuwa na channel au account yko ambayo utaweka video zako ambazo watu huzitazama ...yan mkwanjwa unaingiaje..ni hyo wadau mwenye kufaham tafadhal tunaomba msaada wa elimu hyo.

Natanguliza shukran..
cc@chief mkwawa na wengne wote ahsantum.
ku upload video ni simple tu ni wewe na bundle lako
kuanza kulipwa unabidi ujiunge na huduma ya google adsense,
Good quality content zina attract vistors na kuanza kupata views. Unahitaji kuwa mvumilivu kwani unapoanzisha YouTube Account yako views wanakuwa ni wachache muno inataka time kujitengenezea fan base yako (Subscribers)
Views ndo zinakupatia pesa via monitize ya Google Adsense.
 
Asante mkuu..nmeipenda hii ndo nilichokuwa nakitafuta..ukipata mda njoo tupe darasa la Juu ha hyo google adsense.
 
Back
Top Bottom