Elimu kuhusu "Kuua bila ya kukusudia" S.195(1) penal code

May5

Member
Oct 31, 2017
10
45
DEFINITION(MAANA)
Kuua bila kukusudia "BLACK LAW DICTIONARY 8TH EDITION 2004,P.3056
Limetoa maana kua "ni kitendo cha kuua binaadam bila ya nia ya kufanya hivyo" .....ni kwamba , bila ya kua na nia ovu mtu anaweza kusababisha kifo kwa mtu mwengine na akajikuta anawajibika katika mlolongo wa kisheria....mfano katika kesi ya "REPUBLIC V/S ELIZABETH MICHAEL" (UN REPORTED)
ambapo accused ameshukiwa kumuua "B" bila ya kukusudia na kukubali kosa hilo mbele ya mahkama.

VIINI VYA KOSA
A.kitendo kinyume ya sheria au kuacha kutenda.
Mfano "A" amewajibika kumsaidia "B" lkn akaacha kw makusudi au uzembe kumsaidia ...ikatokea "B" amefariki ..."A" atakua na kesi ya kujibu juu ya kwa nn ameacha jambo baya limtokee mwenzake ....au "B" sio kwa makusudi imetokea kamuua "Q" bila ya kukusudia "B" atawajibika .

B.kusababisha kifo kwa mtu mwengine.

AINA ZA KUUA BILA KUKUSUDIA.
1.kuua bila kukusudia.
2.kuua kwa kukusudia.
mfano :"S" amemuua "G" kwa hasira. Refer case of "BENJAMIN MWASI V. REPUBLIC(1992) TLR 86 (CA).
ambapo mshtakiwa alikubali kosa la kumuua mchumba wake ..katika rufaa alitaja defence ya hasira kutokana na maneno alioongea mpenziwe ambayo ni ya kashfa ...mahakama ya ya rufani ikakubaliana na dai lake na kosa lake likawa ni kuua bila ya kukusudia.

Mfano(2) : self defence(kujihami)
Ref. case of "MOSES MUNGASIANI LAIZER ALIAS CHICHI V. REPUBLIC (1994) TLR 222 (CA) .
Ambapo mshtakiwa alikata rufaa kutoka hukumu ya kuua kwa kukusudia kutokana na kusababisha kifo cha alieuliwa "deceased" ikiwa sababu ni kupigana ...mahakama ya rufani ikaamua kua mshtakiwa aliua bila ya kukusudia....

By Yunus (DIL 2nd Year )
 
Kikwajuni One

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
9,623
2,000

Sheria kuifahamu ni kazi sana.Endelea kutupa mafunzo ya sheria.
 
Nkanini

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
1,898
2,000
thanks kwa kutupa mwanga ,ila please nenda deep zaidi ni ushahidi upi ambao DPP ni lazima awe nao ili aweze kupeleka kesi ya kuuwa bila ya kukusudia mahakamani?je ni reports zipi za foresinc ambazo ni muhimu hasa inapotokea hakuna eye witness?je ni sababu zipi amabazo Judge itabidi aridhike without doubts ili aweze kumhukumu mtuhumiwa kwa kesi ya kuua bila ya kukusudia?please help here maana kwangu hii kesi ya Jamhuri vs LULU naona ni miscarriage ya kisheria hapa.
 
ngurumoo

JF-Expert Member
Jun 19, 2016
583
500

Km hujui vizuri , Au huwezi eleza kikaeleweka kaa kumya.
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
29,670

Elimu nzuri!
Je najaribu kumsaidia mtu asizame kisimani bahati mbaya anachoropoka mkononi na kuzama kisha kufa, nina hatia??
Na imatokea mbele ya macho yangu jamaa kaanguka na anaomba msaada wangu kwa hali na mali mi nikapuuza mpaka akafa, nina kesi ya kujibu??
 
May5

Member
Oct 31, 2017
10
45
thanks kwa kutupa mwanga ,ila please nenda deep zaidi ni ushahidi upi ambao DPP ni lazima awe nao ili aweze kupeleka kesi ya kuuwa bila ya kukusudia mahakamani?je ni reports zipi za foresinc ambazo ni muhimu hasa inapotokea hakuna eye witness?je ni sababu zipi amabazo Judge itabidi aridhike without doubts ili aweze kumhukumu mtuhumiwa kwa kesi ya kuua bila ya kukusudia?please help here maana kwangu hii kesi ya Jamhuri vs LULU naona ni miscarriage ya kisheria hapa.

Asante, maswali yako ni mazuri mno...ila ningependa kutetea muono wako juu ya sheria iliotumika kuhusu kesi ya "JAMHURI V. LULU" ...kwa mujibu wa mlolongo wa kusikiliza "parties" za kesi husika mtu anaweza kuwa convicted na mahakama ikajiridhisha kua ametenda kosa dhidi yake pale tu anapoamua kukubali kosa dhidi yake ..

na Kumbuka kua "LULU" amekubali kosa lake ..hivyo bila ya kukusanya witness zaid apart yule 1st witness (mdogo wa kanumba) mahakama inatosha kuhukumu kesi kwa "PLEA" aloitoa mwenyew mshtakiwa. Asante..
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
29,670
2,000
Asante, maswali yako ni mazuri mno...ila ningependa kutetea muono wako juu ya sheria iliotumika kuhusu kesi ya "JAMHURI V. LULU" ...kwa mujibu wa mlolongo wa kusikiliza "parties" za kesi husika mtu anaweza kuwa convicted na mahakama ikajiridhisha kua ametenda kosa dhidi yake pale tu anapoamua kukubali kosa dhidi yake ..na Kumbuka kua "LULU" amekubali kosa lake ..hivyo bila ya kukusanya witness zaid apart yule 1st witness (mdogo wa kanumba) mahakama inatosha kuhukumu kesi kwa "PLEA" aloitoa mwenyew mshtakiwa. Asante..
Je kama mtuhumiwa amelazimishwa ku-plea guilty, hauoni hii ina utata kumtegemea tu mtuhumuwa akubali??
 
May5

Member
Oct 31, 2017
10
45
Elimu nzuri!
Je najaribu kumsaidia mtu asizame kusimani bahati mbaya anachoropoka mkononi na kuzama kisha kufa, nina hatia??
Na imatokea mvele ya macho yangu jamaa kaa guka na anaomba msaada wangu kwa hali na mali mi nikapuuza mpaka akafa, nina kesi ya kujibu??
Asante, kwa scenario ya kwanza.
hutokua na kosa la kujibu na hutowajibika kwasabbu umefanya kila uwezalo kuepusha dhuru lolote .

Kwa scenario ya pili.
lazima uwajibike kisheria sababu ulichofanya ni uzembe na ulikuwa na uwezo wa kuzuia dhuru juu ya aliekufa.

kisheria ume "ommit" wajibu wako juu ya mwengine.hilo ni kosa na utawajibika .
asante.
 
May5

Member
Oct 31, 2017
10
45
Je kama mtuhumiwa amelazimishwa ku-plea guilty, hauoni hii ina utata kumtegemea tu mtuhumuwa akubali??

Hapo inakuja issue nyengine kisheria inaitwa "Compulsory" $ "coersion" ambapo mtu wa namna hiyo yani alielazimishwa kuongea kisicho ndani ya matakwa yake.

Inaweza kutumika km defence kwenye appeal na kesi ikaendelea zaid . Imetajwa katika sheria ya makosa ya jinai (PENAL CODE SECTION 17.)
 
Kikwajuni One

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
9,623
2,000
Asante sana ...nitajitahidi ...

Kuna mambo mengi ya kisheria,huwa yanatubaisha sana.Kwa mfano kesi kusikizwa upande mmoja,nafikiri wanaita expert,utakuta ghafla,unaambiwa kesi yako inasikizwa upande mmoja,upande meingine hausikizwi tena.

1.Je hali hii, husababishwa na nini, na nimeweka wakili,upande wangu,lakini ninaambiwa wakili hatakiwi tena awepo,na vielelezo vyangu vinaondolewa.

2.Je nikishindwa kesi hii ya expert,naweza kufungua kesi,kupinga huo uamuzi?Ikiwa hukumu imeshatolewa au nafanya vipi.
Naomba ufafanuzi.
 
GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,582
2,000
mwandishi A. hajui B. hajui kueleza maana nimesoma sijaona jambo geni au la maana ambalo ameandika. amesikia sikia sehemu akanukuu vifungu ndo kaja kuandika badala ya kuelezea kwa kina. hawa wasomi wenu wa siku hizi ni hopeless kabisa. miaka yetu haya mambo ya kipuuzi hayakuwepo .
 
Nkanini

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
1,898
2,000
Asante, maswali yako ni mazuri mno...ila ningependa kutetea muono wako juu ya sheria iliotumika kuhusu kesi ya "JAMHURI V. LULU" ...kwa mujibu wa mlolongo wa kusikiliza "parties" za kesi husika mtu anaweza kuwa convicted na mahakama ikajiridhisha kua ametenda kosa dhidi yake pale tu anapoamua kukubali kosa dhidi yake ..

na Kumbuka kua "LULU" amekubali kosa lake ..hivyo bila ya kukusanya witness zaid apart yule 1st witness (mdogo wa kanumba) mahakama inatosha kuhukumu kesi kwa "PLEA" aloitoa mwenyew mshtakiwa. Asante..
Thanks MKUU
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
29,670
2,000
mwandishi A. hajui B. hajui kueleza maana nimesoma sijaona jambo geni au la maana ambalo ameandika. amesikia sikia sehemu akanukuu vifungu ndo kaja kuandika badala ya kuelezea kwa kina. hawa wasomi wenu wa siku hizi ni hopeless kabisa. miaka yetu haya mambo ya kipuuzi hayakuwepo .
Elezea wewe basi!
 
nkese

JF-Expert Member
Mar 8, 2017
2,685
2,000
Kuna mambo mengi ya kisheria,huwa yanatubaisha sana.Kwa mfano kesi kusikizwa upande mmoja,nafikiri wanaita expert,utakuta ghafla,unaambiwa kesi yako inasikizwa upande mmoja,upande meingine hausikizwi tena.

1.Je hali hii, husababishwa na nini, na nimeweka wakili,upande wangu,lakini ninaambiwa wakili hatakiwi tena awepo,na vielelezo vyangu vinaondolewa.

2.Je nikishindwa kesi hii ya expert,naweza kufungua kesi,kupinga huo uamuzi?Ikiwa hukumu imeshatolewa au nafanya vipi.
Naomba ufafanuzi.
Kesi kusikilizwa upande mmoja ( ex-parte) hutokana na:
A.Upande wa pili kutohudhuria shaurini.
B.Kupuuza wito n.a. kutotoa/wasilisha ushahidi au utetezi.Inaweza kuwa hata kati kati ya shauri.

Endapo hukumu itatoka ya upande mmoja, upande uliokosa nafasi ya kusikilizwa unaweza kupeleka maombi ya kusitishwa hukumu hiyo (set aside) n.a. kupewa nafasi ya kusikilizwa ( baada ya kutoa sababu kwa nini haukusikilizwa/haukuhudhuria shaurini-sababu za msingi. Maombi yapelekwe mahakama hiyo hiyo n.a. hakimu huyo aliyesikiliza mwanzo shauri Hilo.
 
Chwekamu

JF-Expert Member
Nov 1, 2017
483
500
Hapo inakuja issue nyengine kisheria inaitwa "Compulsory" $ "coersion" ambapo mtu wa namna hiyo yani alielazimishwa kuongea kisicho ndani ya matakwa yake.

Inaweza kutumika km defence kwenye appeal na kesi ikaendelea zaid . Imetajwa katika sheria ya makosa ya jinai (PENAL CODE SECTION 17.)
Ni compulsion siyo compulsory.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom