Simaanishi kusoma hakuna maana, bali unaweza kusoma sana kwa kiwango kikubwa cha elimu lakini ukaja kukuta kitu kilichokufanya ukapata mafanikio ya maisha kwa kuwa na utajiri hata havihusiani na elimu uliyosoma.
Kuna kijana wa kisomali nilisoma nae mpaka chuo kikuu, na akaendelea mpaka Masters mimi nilichomoa,
alipomaliza akafungua duka la hardware dogo tu la misumari na vikorokoro kadhaa mikoani, mara akawa anapewa cementi na mabati kwa mali kauli, leo hii ana magorofa na vituo vya mafuta.
Sasa biashara hii hata asingesoma?
Na hapa kwa wasomali hakuna sijui uchawi au uganga, huwa hawana hayo mambo...
Kwahiyo jamani tusinganganie sana kwenye elimu kubwa, wakati hata ukiaanza kuuza mgahawa na punje moja ya mchele, unaweza kufanikiwa.....