Elimu kidogo juu ya haya.

Elimu kidogo juu ya haya.

jamani haya maswali hata hayana mantiki.


Kama una shida na maana ya kitu fulani kigoogle na kama unaona huwezi kingereza tumia google translator

nenda
translate.google.com

website zote utatafsiriwa kwa lugha unayotaka
 
kwan hujui biblia inasemaje """ole wao walala usiku na kuwaza maovu vitandani mwao""" ni maneno ya muhubiri haya.

Nimekoma mie,


hivi teacher, inawezekana kweli watu wakalala vitandani na kuwaza maovu?
 
Babu sisi ni wajukuu wenye nidhamu, badala ya kwenda sijui viwanja siku kuu hii, tulikuwa darasani tunapata elimu ya mablog ma web na kadhalika.

Na km alivyosema gfsonwin nakubaliana nae kabisa, afadhali yetu sisi kuliko tungekuwa kwenye madhambi.
See you tomorrow babu Dark City.

Sawa KOKUTONA
 
Last edited by a moderator:
Nimekoma mie,


hivi teacher, inawezekana kweli watu wakalala vitandani na kuwaza maovu?
kabisa manake utawaza kesho nitapata wapi gepu nipige za wk end, mara ada za watoto jan sijui nimvizie vp bosi wangu, mara nitege wapi mingo nibadili fenicha ndani, umeona enh!!
 
jamani haya maswali hata hayana mantiki.


Kama una shida na maana ya kitu fulani kigoogle na kama unaona huwezi kingereza tumia google translator

nenda
translate.google.com

website zote utatafsiriwa kwa lugha unayotaka

Hayana mantiki kwako unaejua kila kitu. Mbona waungwana wametujibu na tumeelwa?
 
kabisa manake utawaza kesho nitapata wapi gepu nipige za wk end, mara ada za watoto jan sijui nimvizie vp bosi wangu, mara nitege wapi mingo nibadili fenicha ndani, umeona enh!!


Sawa teacher wa ukweli gfsonwin, mtu anawaza hayo yote akiwa amelala au anayaota?
 
Last edited by a moderator:
Kwani on average mtu anasubiri usingizi kwa muda gani?

mie sizidishi hata dak 5!

inategemea na mara nyingi sana mtu hajui huwa analala muda gani ila mauda wa kuingia kitandani anajua la muda wa kuchukuliwa na usingizi hajui. ila hata kama ni dk 5 basi hizo hizo zinaweza kutumika kukufaya kuwaza maovu.

skiliza nikuchekeshe kweye mambo ya ushauri nasaha kuna point huwaga tunasema ushauri huwa haufanyi kazi 100% sababu nini? jibu kwamba mtu huwaza sana usiku anapolala tena anapokuwa peke yake, sasa kwa maana hiyo hata umshauri mtu vizuri kiasi gani kama akirudi anakwenda kulala peke yake usiku basi jua anaweza kubadilika kabisa kimawazo kwasababu ndio muda anao waza
 
Kwani on average mtu anasubiri usingizi kwa muda gani?

mie sizidishi hata dak 5!

Babu leo maswali kwa ticha. Mimi nimesha experience anachosema gfsonwin nnapoanza kuchukuliwa na usingizi, vitu vingi sana hunijia mawazoni, viingi, unaweza kujenga hata nyumba kifikra.

Una bahati sana babu yaani within 5min ushalala.
 
Last edited by a moderator:
Babu leo maswali kwa ticha. Mimi nimesha experience anachosema gfsonwin nnapoanza kuchukuliwa na usingizi, vitu vingi sana hunijia mawazoni, viingi, unaweza kujenga hata nyumba kifikra.

Una bahati sana babu yaani within 5min ushalala.


Namshukuru sana teacher gfsonwin kwa somo.


Ukweli nimejifunza kitu.

Binafsi nina usingizi wa kunitosha ili mradi niwe nimechoka. Sijawahi kupata muda wa kuwaza kwa bed!


kumbe wengine ndipo wanapofanyia kila aina ya mission?
 
Last edited by a moderator:
Namshukuru sana teacher gfsonwin kwa somo.


Ukweli nimejifunza kitu.

Binafsi nina usingizi wa kunitosha ili mradi niwe nimechoka. Sijawahi kupata muda wa kuwaza kwa bed!


kumbe wengine ndipo wanapofanyia kila aina ya mission?
babu usione watu wanakaa humu mitandaoni mida ya usiku kama hii ni katika hali ya kupunguza kuwaza maovu kitandani.
 
Namshukuru sana teacher gfsonwin kwa somo.


Ukweli nimejifunza kitu.

Binafsi nina usingizi wa kunitosha ili mradi niwe nimechoka. Sijawahi kupata muda wa kuwaza kwa bed!


kumbe wengine ndipo wanapofanyia kila aina ya mission?

We acha tu. Hongera sana kwa kweli na una bahati iliyoje?
 
Back
Top Bottom