twitter na fb ni social networks iila whatsapp, bbm, sijui skype hizi ni application za kuchat na friends zako tu..Logo - nembo
web-website
blog-jukwaa
page- ukurasa
at least kwa layman kama mm naweza ksema hivi.( iyo n kutokana na uelewa wangu tu sio kweli sijui maana yake technically.)
naomba ongeza na haya ili watuambie nn maana yake
whatsap?
fb
bbm
pia iphone na ipad
Logo - nembo

mambo poa tu mamii.
web = website mfano www.elimu.co.jf
blog = hii ipo kama website lakini hii inaruhusu interaction kati ya user na poster au mleta habari mfano www.jarbu.blogspot/tumblr/wordpress.com
page = ni ukurasa ambao uliopo mfano homepage ya jf
logo = ni utambulishi wa kitu chako mfano![]()
mambo poa tu mamii.
naona ndetichia ametoa majibu ingawa kuna vingine ameacha. but at least katufumbua macho. ngoja tumsubiri atuambie nn maana ya ipad na iphone
Umeona ee afu utakuta wameandika Msaada wa tablet for whatsap, sasa sijui ndo nini?
mbaya zaid wadau wa hili jukwaa wengi wanassume wote ni wataalam yaani hadi wengine tunaliogopa manake wanatumia matechnical terms ambayo hata kudefine hawadefine lol!
yaani hawa kufundisha vilaza hawawez kabisa.
bora tena na sheria kidogo watu watadefine lkn hapa mmh!
mambo poa tu mamii.
naona ndetichia ametoa majibu ingawa kuna vingine ameacha. but at least katufumbua macho. ngoja tumsubiri atuambie nn maana ya ipad na iphone
acha wa2mie teminology c ndo maana ya kwenda shule? Km we hauelewi bora ukae kimya kuliko kuona km kero kwako.
Iphone ni toleo la simu Smartphone (simu zinazotumia operating system zinazoweza kutuma/kupokea email, kusoma document n.k) zinazotengenezwa na kampuni ya Apple
![]()
Iphone
Hali kadhalika Ipad ni toleo la kompyuta bapa (tablet computers) zinazotengenezwa na kampuni hiyo hiyo ya Apple
![]()
Ipad