Elimu kidogo juu ya haya.

Elimu kidogo juu ya haya.

Asanteni wadau,kuna vitu hapa nilikuwa na hamu ya kuvifahamu sana!,ila bado kuna baadhi,cjaviona (live) na matumizi yake cjayafahamu! Kuna
>Ipad
>Tablets
 
hebu rudi kasome post#17 waweza kuelewa kidogo. mm mwenyewe nimeviona tu madukan ila ni vitu gani nilikuwa sijui.
 
asante sana mkuu kwa kunifungua ubongo wangu naomba kuuliza kwani SMARTPHONE inamaanisha nn?? je ni version ya simu ama ni generic name ya hizo ipone?? na je hata kama nina kka-nokia ka mchina ila kanasoma emails na kenyewe naweza kusema ni smartphone??

pili je simu yyte ambayo ni tachi- screen ni iphone??

..SMARTPHONE inamaanisha nn?? je ni version ya simu ama ni generic name ya hizo ipone?? na je hata kama nina kka-nokia ka mchina ila kanasoma emails na kenyewe naweza kusema ni smartphone??..

Smartphones ni aina za simu za mikononi zilizounganishwa na mfumo wa uendeshaji wa simu (Operating System) ukiwa umeongezewa na uwezo zaidi kama wa kiutendaji wa kompyuta. Simu hizi sasa zimewekewa uwezo wa kuchezesha miziki, video, kupiga picha, GPS, Matoleo mapya, na kwa matoleo mapya, vioo vyake vinafanya kazi kwa kugusa tu, vivinjari wavuti kwa ajili ya kuingia kwenye tovuti mbalimbali, lakini pia zimewekewa uwezo wa kuingia/kupata muunganisho wa wavuti kwa kutumia teknolojia ya wi-fi pamoja na hizi za mobile broadband.

Sina uhakika sana lakini nadhani Iphone zote ni smartpne lakini sio smartphone zote ni Iphone kwa sababu hazitengenezwi na Kampuni ya Apple Inc.

.....na je hata kama nina kka-nokia ka mchina ila kanasoma emails na kenyewe naweza kusema ni smartphone??..

Naomba nikiri ni swali nnalojiuliza sana, ila nadhani smatphone nyingi zinatumia operating system, email ni mojawapo tu ya sifa za smartphone, kama hakana vigezo vingine japo ni ka kenge lakini hakatakuwepo kwenye msafara wa mamba.

..pili je simu yyte ambayo ni tachi- screen ni iphone??

Hapana, Iphone ni jina la toleo la simu zinazotengenezwa na kampuni ya Apple, Kuna smartphone zenye touch screen lakini zinatengezwa na makampuni mengine kama Sumsung, RIM BlackBerry, HTC n.k

Kwa maelezo zaidi kuhusu smartphone, tembelea hapa

Sidhani kama niko sahihi sana, ila ni vizuri kujadili haya mambo kwa sababu kuna vitu vingi huwa tunachukulia kwamba tunavielewa lakini inapofika wakati unatakiwa uelezee ndio unajua kwamba hauelewi vizuri ni afadhali nifunguke hapa hata nikikosea wadau watanisahihisha. Thanks
 
Smartphones ni aina za simu za mikononi zilizounganishwa na mfumo wa uendeshaji wa simu (Operating System) ukiwa umeongezewa na uwezo zaidi kama wa kiutendaji wa kompyuta. Simu hizi sasa zimewekewa uwezo wa kuchezesha miziki, video, kupiga picha, GPS, Matoleo mapya, na kwa matoleo mapya, vioo vyake vinafanya kazi kwa kugusa tu, vivinjari wavuti kwa ajili ya kuingia kwenye tovuti mbalimbali, lakini pia zimewekewa uwezo wa kuingia/kupata muunganisho wa wavuti kwa kutumia teknolojia ya wi-fi pamoja na hizi za mobile broadband.

Sina uhakika sana lakini nadhani Iphone zote ni smartpne lakini sio smartphone zote ni Iphone kwa sababu hazitengenezwi na Kampuni ya Apple Inc.

Naomba nikiri ni swali nnalojiuliza sana, ila nadhani smatphone nyingi zinatumia operating system, email ni mojawapo tu ya sifa za smartphone, kama hakana vigezo vingine japo ni ka kenge lakini hakatakuwepo kwenye msafara wa mamba.

Hapana, Iphone ni jina la toleo la simu zinazotengenezwa na kampuni ya Apple, Kuna smartphone zenye touch screen lakini zinatengezwa na makampuni mengine kama Sumsung, RIM BlackBerry, HTC n.k

Kwa maelezo zaidi kuhusu smartphone, tembelea hapa

Sidhani kama niko sahihi sana, ila ni vizuri kujadili haya mambo kwa sababu kuna vitu vingi huwa tunachukulia kwamba tunavielewa lakini inapofika wakati unatakiwa uelezee ndio unajua kwamba hauelewi vizuri ni afadhali nifunguke hapa hata nikikosea wadau watanisahihisha. Thanks

asante sana kwa kunitoa tongotongo sasa naweza kusema iphone ni nini na nini tofauti yake na smartphone.
 
Waungwana wa matechnology hodiiii.

Naomba kupata elimu toka kwenu japo kwa uchache katika vitu hivii.

1. web
2.blog
3.page
4.logo

web,
ni ufupi wa world wide web au www, ni mkusanyiko wa mitandao ya kompyuta iliyounganishwa pamoja na kuwasiliana kupitia waya au bila waya, sina hakika kama ulikuwa unauliza web hiyo niliyodefine au ulitaka kujua web as website= huu ni mkusanyiko documents ambazo zimekuwa linked to one another ambazo zinaweza kuwa accessed kupitia program maalum iitwayo browser(kiswahili chake kigumu) ambayo lazime iwe connected to intranet au internet . website inaweza kuwa blog, message board, cms, social network etc

Blog
hii ni kifupi cha weblog, ni mfumo wa kushea infomation (mfano wa website) ambapo information (blog posts) huwekwa in chronological order, yaani mpya hukaa mwanzo kabisa na ya zamani hukaa mwisho kabisa, blog uwa hazina vikorombwezo vingi ukilinganisha na mifumo mingine ya kushea information, baadhi platform maarufu za blogging ni wordpress, b2evolution, drupal, blogger(blogspot), siku hizi joomla unaweza ku extend iwe blog, na zingine

Page
huu ni ukurasa wa wavuti, mara zote kurasa za mtandao au wavuti uwa zina extension kama mafaili mengine kwenye kikokotozi, ukurasa wa mwanzo kwenye tovuti uwa na jina index.htm, au index.html, au index.php, au index.asp, main.html, etc kutegemeana na mfumo wa hiyo wavuti
mfano wa kurasa ni hii hapa http://mtaawasaba.com/index.php
pia siku hizi facebook fan pages hujulikana kama page, utasikia watangazaji wa vipindi wakisema tembelea ukurasa wetu, uwa wanamaanisha ukurasa wa facebook fans wa hicho kipindi amabpo watu hu click LIKE ili wawe subscribers

Logo
as far as website is concerned, logo hukaa upande wa juu kabisa kushoto kama tovuti ni LTR kama ni za kiarabu ambazo ni RTL logo hukaa kulia juu, mara nyingi uwa ni utambulisho wa tovuti yenyewe, kama vile ukifungua tv ile unayoona pale unajua hii ni bbc au cnn au star tv, basi hiyo ni logo

Tablet
sio kidonge, hii ni aina mpya kompyuta ambayo iko katikati ya simu na kompyuta kubwa, mara nyingi tablet uwa hazina keyboard kama laptop badala yake zina keyboard yakupachika au iliyo ndani ya skirini,
ni nyepesi kubeba, ziko za aina nyingi baadhi ni tablet za apple ambazo hujulikana kama ipad, tablet za blackberry hujulikana kama playbook, tablet za android, pia microsoft wa wametoa tablet za windows ambazo wameziita surface,
tablet maarufu sana ni za android sababu bei yake ni rahisi na makampuni mengi ya simu yameweza kutengeneza vifaa hivyo

cc: @gfsonwin, ndetichia, na wengine
 
web,

ni ufupi wa world wide web au www, ni mkusanyiko wa mitandao ya kompyuta
iliyounganishwa pamoja na kuwasiliana kupitia waya au bila waya, sina
hakika kama ulikuwa unauliza web hiyo niliyodefine au ulitaka kujua
web as website= huu ni mkusanyiko
documents ambazo zimekuwa linked to one another ambazo zinaweza kuwa
accessed kupitia program maalum iitwayo browser(kiswahili chake kigumu).
website inaweza kuwa blog, message board, cms, social network etc

Blog
hii ni kifupi cha weblog, ni mfumo wa kushea infomation (mfano wa
website) ambapo information (blog posts) huwekwa in chronological order,
yaani mpya hukaa mwanzo kabisa na ya zamani hukaa mwisho kabisa, blog
uwa hazina vikorombwezo vingi ukilinganisha na mifumo mingine ya kushea
information, baadhi platform maarufu za blogging ni wordpress,
b2evolution, drupal, blogger(blogspot), siku hizi joomla unaweza ku
extend iwe blog, na zingine

Page
huu ni ukurasa wa wavuti, mara zote kurasa za mtandao au wavuti uwa zina
extension kama mafaili mengine kwenye kikokotozi, ukurasa wa mwanzo
kwenye tovuti uwa na jina index.htm, au index.html, au index.php, au
index.asp, main.html, etc kutegemeana na mfumo wa hiyo wavuti
mfano wa kurasa ni hii hapa http://mtaawasaba.com/index.php
pia siku hizi facebook fan pages hujulikana kama page, utasikia
watangazaji wa vipindi wakisema tembelea ukurasa wetu, uwa wanamaanisha
ukurasa wa facebook fans wa hicho kipindi amabpo watu hu click LIKE ili
wawe subscribers

Logo
as far as website is concerned, logo hukaa upande wa juu kabisa kushoto
kama tovuti ni LTR kama ni za kiarabu ambazo ni RTL logo hukaa kulia
juu, mara nyingi uwa ni utambulisho wa tovuti yenyewe, kama vile
ukifungua tv ile unayoona pale unajua hii ni bbc au cnn au star tv, basi
hiyo ni logo

Tablet
sio kidonge, hii ni aina mpya kompyuta ambayo iko katikati ya simu na
kompyuta kubwa, mara nyingi tablet uwa hazina keyboard kama laptop
badala yake zina keyboard yakupachika au iliyo ndani ya skirini,
ni nyepesi kubeba, ziko za aina nyingi baadhi ni tablet za apple ambazo
hujulikana kama ipad, tablet za blackberry hujulikana kama playbook,
tablet za android, pia microsoft wa wametoa tablet za windows ambazo
wameziita surface,
tablet maarufu sana ni za android sababu bei yake ni rahisi na makampuni
mengi ya simu yameweza kutengeneza vifaa hivyo

cc:
@gfsonwin,

ndetichia,
na wengine

Ahsante kwa darasa mkuu.
 
web,
ni ufupi wa world wide web au www, ni mkusanyiko wa mitandao ya kompyuta iliyounganishwa pamoja na kuwasiliana kupitia waya au bila waya, sina hakika kama ulikuwa unauliza web hiyo niliyodefine au ulitaka kujua web as website= huu ni mkusanyiko documents ambazo zimekuwa linked to one another ambazo zinaweza kuwa accessed kupitia program maalum iitwayo browser(kiswahili chake kigumu) ambayo lazime iwe connected to intranet au internet . website inaweza kuwa blog, message board, cms, social network etc

Blog
hii ni kifupi cha weblog, ni mfumo wa kushea infomation (mfano wa website) ambapo information (blog posts) huwekwa in chronological order, yaani mpya hukaa mwanzo kabisa na ya zamani hukaa mwisho kabisa, blog uwa hazina vikorombwezo vingi ukilinganisha na mifumo mingine ya kushea information, baadhi platform maarufu za blogging ni wordpress, b2evolution, drupal, blogger(blogspot), siku hizi joomla unaweza ku extend iwe blog, na zingine

Page
huu ni ukurasa wa wavuti, mara zote kurasa za mtandao au wavuti uwa zina extension kama mafaili mengine kwenye kikokotozi, ukurasa wa mwanzo kwenye tovuti uwa na jina index.htm, au index.html, au index.php, au index.asp, main.html, etc kutegemeana na mfumo wa hiyo wavuti
mfano wa kurasa ni hii hapa http://mtaawasaba.com/index.php
pia siku hizi facebook fan pages hujulikana kama page, utasikia watangazaji wa vipindi wakisema tembelea ukurasa wetu, uwa wanamaanisha ukurasa wa facebook fans wa hicho kipindi amabpo watu hu click LIKE ili wawe subscribers

Logo
as far as website is concerned, logo hukaa upande wa juu kabisa kushoto kama tovuti ni LTR kama ni za kiarabu ambazo ni RTL logo hukaa kulia juu, mara nyingi uwa ni utambulisho wa tovuti yenyewe, kama vile ukifungua tv ile unayoona pale unajua hii ni bbc au cnn au star tv, basi hiyo ni logo

Tablet
sio kidonge, hii ni aina mpya kompyuta ambayo iko katikati ya simu na kompyuta kubwa, mara nyingi tablet uwa hazina keyboard kama laptop badala yake zina keyboard yakupachika au iliyo ndani ya skirini,
ni nyepesi kubeba, ziko za aina nyingi baadhi ni tablet za apple ambazo hujulikana kama ipad, tablet za blackberry hujulikana kama playbook, tablet za android, pia microsoft wa wametoa tablet za windows ambazo wameziita surface,
tablet maarufu sana ni za android sababu bei yake ni rahisi na makampuni mengi ya simu yameweza kutengeneza vifaa hivyo

cc: @gfsonwin, ndetichia, na wengine

Ahsante saaaaana C6 hakika umenielewesha vya kutosha.

Ubarikiwe sana, yaani ungekuwa karibu ningekupiga na mirinda bariiiidiiiiiii.
gfsonwin karibu ujizolee maarifa huku.
 
Last edited by a moderator:

C6 barikiwa mwaka mzima wa 2013 na mkeo azidi kukupenda maradufu lol!
umenifundisha asante sana.

ila nina swali kwako, je mtu nayemiliki blog ni tofauti na kumiliki web?? na je web moja inaweza kuwa na blog tofauti tofauti?
 
Last edited by a moderator:
acha wa2mie teminology c ndo maana ya kwenda shule? Km we hauelewi bora ukae kimya kuliko kuona km kero kwako.

Tupo hapa kujifunza ndugu, ndo maana tumeuliza. Waache walio willing kutupa elimu watupe, huna cha kusema kaa kimya. Nani kakwambia nieona kero? Jipange mkuu, twambie wewe unajua nini, siyo bla bla hapa.
 
kwan nani kalalamika wasitumie terminology??
sisi tumeuliza maana ya hayo maneno na terminology tunazosikia ama wafikiri kazi ya hili jamvi ni nini?? hapa tuko ili kujifunza kama wewe unaona haya kuuliza mie na kokutona hatuoni haya.

istoshe tunaposhauri kwamba wawe wanadefine some of the new terminologies is it wrong?? nina shaka na elimu yako ama tumuulize Invisible kama kusema haya ni makosa??

wewe napata shaka ni miongoni mwa wale wanaoakufa na tai shingoni jambo hujui unabakia tu kuvumilia kisabuni mwisho wa siku unaumbuka.

Yaani dada gfsonwin umenifurahisha, umempa ukweli wake. Nadhani xmas ilikuwa mbaya kwake anatafuta mtu wa kumkasirisha km yeye.

Hajui kuwa kuna faida sana ukiwa hujui na uka admit kuwa hujui ili uelimishwe.
 
Last edited by a moderator:
C6 barikiwa mwaka mzima wa 2013 na mkeo azidi kukupenda maradufu lol!
umenifundisha asante sana.

ila nina swali kwako, je mtu nayemiliki blog ni tofauti na kumiliki web?? na je web moja inaweza kuwa na blog tofauti tofauti?

Sali zuri sana hili.
 
C6 barikiwa mwaka mzima wa 2013 na mkeo azidi kukupenda maradufu lol! umenifundisha asante sana. ila nina swali kwako, je mtu nayemiliki blog ni tofauti na kumiliki web?? na je web moja inaweza kuwa na blog tofauti tofauti?
mtu anaemiliki blog ni sawa na anaemiliki website ingine, tofauti ni blogger uwa ana update mwenyewe tena mara kwa mara, tofauti na websites kubwa kama cms (content management systems) uwa kunakuwa na editors na waandishi wengi (jibu la pili linaanzia hapa) kwenye websites kubwa zinakuwa kama magazeti, zinakuwa na waandishi wengi, so kila mtu anakuwa na kolamu yake, ili ku organize kazi zao vizuri kunakuwa na blogs kwa ajili ya kila mmoja wao, so website moja inakuwa na blogs nyingi, mfano categories tofauti mfano afya, teknolojia, burudani wanakuwa na blog tofauti tofauti au waandishi tofauti
 
Last edited by a moderator:
KOKUTONA na gfsonwin kama mtapenda kuanzisha blog, naweza kuwapa ushauri na miongozo nini cha kufanya, mimi nimekuwa na blog since 2006, ila kwa sasa nimeamua kupumzika, nimeamua kubaki na content management system ambayo itaanza kuruka hewani soon mwisho kabisa wa mwaka huu au mwanzo wa mwaka 2013
 
sasa tuanzie hapa ili twende sawa yahoo ni nini? blog ama website?? je huduma za mesenja labda ni blog ama ni nini? ama huduma ya email??
 
KOKUTONA na gfsonwin kama mtapenda kuanzisha blog, naweza kuwapa ushauri na miongozo nini cha kufanya, mimi nimekuwa na blog since 2006, ila kwa sasa nimeamua kupumzika, nimeamua kubaki na content management system ambayo itaanza kuruka hewani soon mwisho kabisa wa mwaka huu au mwanzo wa mwaka 2013

ahsante sana C6 ila ukweli elimu tu juu ya nini kiwepo kwenye blog sina achilia mbali ile hamu ya kutaka kuanzisha.
 
Usiku wote huo wewe KOKUTONA na teacher wako gfsonwin mlikuwa mwatafuta nini jamani??

Ni hayo maneno au tuwasome kivyetu vyetu...1947 style??

Babu DC!!

sasa babu Dc kuliko kutenda dhambi si bora nishinde nikiwa nasoma mavitu magumu tu humu labda nitaondo ujinga?

mm hulala usiku sana usinishangae.
 
Usiku wote huo wewe KOKUTONA na teacher wako gfsonwin mlikuwa mwatafuta nini jamani??

Ni hayo maneno au tuwasome kivyetu vyetu...1947 style??

Babu DC!!

Babu sisi ni wajukuu wenye nidhamu, badala ya kwenda sijui viwanja siku kuu hii, tulikuwa darasani tunapata elimu ya mablog ma web na kadhalika.

Na km alivyosema gfsonwin nakubaliana nae kabisa, afadhali yetu sisi kuliko tungekuwa kwenye madhambi.
See you tomorrow babu Dark City.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom