live on
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 792
- 1,268
Ukweli ni kwamba hili Bunge la Tanzania halina manufaa yoyote Kwa watanzania kazi Yao ni kuficha madhaifu ya serikali ya CCM kupitisha na kubariki mikataba mibovu ya rasilimali za nchi yetu rejea Richmond, Gase, madini, Bandari ya Bagamoyo na DP world.
Watanzania wote tunajua elimu ya Tanzania imekuwa ngumu na mzunguko mkubwa Kwa sababu ya kutumia lugha ya kiswahili shule za msingi alafu gafla ukingia secondary unakutana na lugha ya kingereza.
Hata wabunge wetu wanalijua hili ila hawana uwezo wa kuishinikiza serikali ianze kutoa elimu ya msingi Kwa lugha ya kingereza ila siku Rais au waziri Kwa utashi wake akiamua iwe hivyo watamsifia sana watashangilia sana na kugonga meza wakati ni kitu ambacho kipo ndani ya uwezo wao.
In short Bunge letu limeshindwa kutupa watanzania kitu roho inapenda