Brownj
Senior Member
- May 8, 2017
- 139
- 81
- Thread starter
- #21
Siogopi mkuu napenda sana kusoma sema nmeeleza kwa ufupi tu nina mengi,Omba chuo ukasome, acha kuogopa kusoma
Asante kwa mawazo mkuu ubarikiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Siogopi mkuu napenda sana kusoma sema nmeeleza kwa ufupi tu nina mengi,Omba chuo ukasome, acha kuogopa kusoma
Asante Sana ndugu yangu Mwenyezi Mungu akutunzeMungu na akusaidie ndugu yangu ili ufanikiwe kurudi shuleni.
Fuata ushauri ulizopewa hapo juu
Kwa matokeo haya ukiomba chuo(bachelor) unapata tena hadi mkopo utapata.....acha kukata tamaa mapema mkuuHeshima kwenu wakuu,, mimi ni muhutimu wa kidato cha sita mwaka 2015 katika tahasusi ya PCB nilibahatika kupata alama za kuniwezesha kujiunga na elimu ya juu japo hafifu E, C, C, D, na E kwa physics, chemistry, biology, Bam and GS respectively
Kwa bahati mbaya sikuweza kujiunga na chuo richa ya kuchaguliwa kutokana na sababu za kiuchumi,, hivyo nikaamua kuanza kupambana na maisha
Namshukuru Mungu nikapata kaz ya kumwaga zege hapa mjini (dar) kaz niliyodumu nayo mpaka sasa na imenisaidia kuwawezesha wazaz wangu kulima japo kidogo na kula apo apo,
Nmejikusanya japo kidg kama M1 natamani sana nirudi shule je naweza kuomba course gani kwa ngazi ya diploma au bachelor.
Ila nahofia nikienda diploma haina mkopo so baada ya ka akiba kuisha naweza kushindwa kujiendesha lakin sasa kwenye diploma ndo naona kidg naweza chaguliwa kirahisi kuliko bachelor kutokana na matokeo yangu.
Lakini pia nawaza kama kuna course ya mda mfupi ambayo naweza kusoma kwa garama isiyozidi iyo akiba yangu nipo tayari
Kama kuna swari karibu wakuu nmeandika kwa ufupi tuu baadhi ya vitu muhim tu ili nisiwachoshe lakini nmekutana na mengi sana.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu anirehem kukukwaza si kusudio langu mkuuWewe unataka uwe nani unajua watanzania ifike hatua tujitambue,... Uwez kua umesoma kwa nguvu na mateso uliyopata, mwishowe wa siku unataka upewe ushauri usomee nn, nyie ndo mnatujazia masikini na vijana wasiojitambua mtaan kazi kupiga soga instagram na kweny vijiwe vya bangi,na kugongea vocha ,kwa sababu hujitambui, sasa mtu kama uyu kamaliza form six,... Ajielewi ina maana akifika mtaani baada ya kumaliza chuo, atasubir mtu wakumwambia afanye hiki afanye kile, ushauri jitambue wewe ni mtu mzima,.. Utaenda kujenga familiar itaitaji kiongozi,.. Kiongozi yupi asiyr jielewa na kujua specifics goals, zake
Sina vigezo kwa MD mkuuSoma udaktari wa binadamu kazi zao nahisi kupata usijisomee ili mradi tu
Asante kwa ushauri mkuuEndelea na biashara zako tu mkuu elimu haina mwisho
Ni kweli mkuu upo sahihi lakin sina wa kunishika mkono naona nikienda diploma aka ka akiba kakiisha hali itakua tete sanaNahisi hayo ni matokeo ya GPA.
Ni tofauti na ya division.
Ya GPA hushushwa.
Anzia diploma. Kwa sababu una akili mukichwa ukianza tu utajitahidi umalize.
Usiombe vyuo vya binafsi.
Omba diploma ya clinical
All the best
Asante sana mkuu hakika sitanyamazaKwa matokeo haya ukiomba chuo(bachelor) unapata tena hadi mkopo utapata.....acha kukata tamaa mapema mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa yanashushwa.....ila anazo principl mbili(c,c) ambazo n sawa na D mbili za sasa......so nafas ya kusoma bachelor ipo palepaleNahisi hayo ni matokeo ya GPA.
Ni tofauti na ya division.
Ya GPA hushushwa.
Anzia diploma. Kwa sababu una akili mukichwa ukianza tu utajitahidi umalize.
Usiombe vyuo vya binafsi.
Omba diploma ya clinical
All the best
Soma clinical doctor diploma jichange hela uapply hata next year usifurahie tu kusoma bachelor kazi ni shida sana utajuta tena afya inalipa sana kwa mtazamo wangu
Ni kweli mkuu asnte ndugu yanguSoma clinical doctor diploma jichange hela uapply hata next year usifurahie tu kusoma bachelor kazi ni shida sana utajuta tena afya inalipa sana kwa mtazamo wangu
Ni kweli mkuu asante ndugu yanguSoma clinical doctor diploma jichange hela uapply hata next year usifurahie tu kusoma bachelor kazi ni shida sana utajuta tena afya inalipa sana kwa mtazamo wangu
Amina
Hakika mkuu kikubwa maisha yaende kwanza mengine badaekuokoa jahazi pia waweza soma
Bs with education PHY NA KINGINGE maisha yanasonga tu
Sent using Jamii Forums mobile app