Brownj
Senior Member
- May 8, 2017
- 139
- 81
Heshima kwenu wakuu,
Mimi ni muhutimu wa kidato cha sita mwaka 2015 katika tahasusi ya PCB nilibahatika kupata alama za kuniwezesha kujiunga na elimu ya juu japo hafifu E, C, C, D, na E kwa physics, chemistry, biology, Bam and GS respectively
Kwa bahati mbaya sikuweza kujiunga na chuo licha ya kuchaguliwa kutokana na sababu za kiuchumi, hivyo nikaamua kuanza kupambana na maisha.
Namshukuru Mungu nikapata kazi ya kumwaga zege hapa mjini (Dar) kazi niliyodumu nayo mpaka sasa na imenisaidia kuwawezesha wazaz wangu kulima japo kidogo na kula apo apo.
Nimejikusanya japo kidogo kama M1 natamani sana nirudi shule, je naweza kuomba course gani kwa ngazi ya diploma au bachelor.
Ila nahofia nikienda diploma haina mkopo so baada ya ka akiba kuisha naweza kushindwa kujiendesha lakini sasa kwenye diploma ndo naona kidogo naweza chaguliwa kirahisi kuliko bachelor kutokana na matokeo yangu.
Lakini pia nawaza kama kuna course ya mda mfupi ambayo naweza kusoma kwa gharama isiyozidi iyo akiba yangu nipo tayari
Kama kuna swali karibu wakuu nimeandika kwa ufupi tuu baadhi ya vitu muhimu tu ili nisiwachoshe lakini nimekutana na mengi sana.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app