Elimu: DP WORLD haina Mkataba wowote Tanzania

Elimu: DP WORLD haina Mkataba wowote Tanzania

Ni mmbo gani tunatakiwa kufanya kama ni uzalendo basi sisi wenyew tunazuiana tukipinga vikali ata wao watajua wananchi wamekasirika zaid hivyo tuwaachie nchi Yao sasa kama kuandamana tu watu wenyew tunageukana police ushikiano zero haya mengine njia bado ngumu Uzalendo ndio kitu cha thamani pekee tulichobakiwa nacho Mungu atupe nguvu moja tu 🙏
 
Ni mmbo gani tunatakiwa kufanya kama ni uzalendo basi sisi wenyew tunazuiana tukipinga vikali ata wao watajua wananchi wamekasirika zaid hivyo tuwaachie nchi Yao sasa kama kuandamana tu watu wenyew tunageukana police ushikiano zero haya mengine njia bado ngumu Uzalendo ndio kitu cha thamani pekee tulichobakiwa nacho Mungu atupe nguvu moja tu
Naiamini sana law of nature. Viongozi hawapaswi kuwa na mazoea kupita kiasi. Anything can happen kwasababu cause causalities zipo. #JustAMatterOfTime
 
Elimu ya bure hii hapa;-

Kuna vitu vinne ambavyo ni muhimu vikaeleweka wazi.
1. Covenant ( Agano )
2. Agreement ( Makubalino )
3. Contract ( Mkataba)
4. Authority ( Mamlaka )

Siku zote AGANO lazima liendane na MKATABA, na pia MAKUBALINO lazima yandane na MAMLAKA. Vitu hivi hukaa viwiliviwili kama mapacha vile au kama "ntu na nkewe!"

Sasa basi, unajua kwanini Watanzania wanapiga kelele sana kuhusu Bandari yao Sababu ni kwamba hawa DP World wameingia Makubaliano na Tanzania, na tena Tanzania ikajifunga kwa kuwapa Mamlaka makubwa sana katika Ardhi yake.

Eh eh eh Sheeiiiilllaaaaa.....el-morondo paranqwine!!!??

Note 1: DP WORLD haijafanya Mkataba wowote na Tanzania. Kilichofanyika ni Makubaliano tu.

Note 2: Hakuna kitu Kibaya katika maisha kama Makubalino, kwa sababu kama yakikeukwa, basi wajibu na majukumu huwa vinasambaratika na kusababisha uvunjifu wa Amani.

Nimeandika kizalendo kabisa nikiwa hapa Kijijini Chamwino Ikulu.
Sawa sasa vipi nawe unasemaje?? Ni makubalianao mazuri au??
 
Sawa sasa vipi nawe unasemaje?? Ni makubalianao mazuri au??
Issue ipo kwenye MAKUBALIANO , vile vifungu vitizamwe UPYA. Vina ukakasi.

DP World si ni Sawa na TICTS tu? Sema yenyewe iko advanced ( internationally) .

Nashauri vile vifungu vitizamwe UPYA kwà ajili ya kulinda maslahi mazima ya Taifa letu. "Si ni hivyo tu Ndugu zangu" in President Ruto's voice

Note: Tumeishaonyesha udhaifu kwà DP World , endapo tukiwakubalia....umakini utahitajika sana.

Makubaliano yaliyopo sasa sio mazuri.
 
Umeelewa sasa?

Maana Mimi nasikia tu....Mkataba...mara ooh MAKUBALIANO....yaani watu wanaongea ongea tu ...hata havieleweki. Ni wachache sana wanaopatia ...

Sisi tumeingia MAKUBALIANO. Hatuna Mkataba na hao jamaa! Ova
Makubaliano ndo yanaenda Bungeni? mmmm muulize mwalimu wako tena akuangalizie majibu.
 
Makubaliano ndo yanaenda Bungeni? mmmm muulize mwalimu wako tena akuangalizie majibu.
Suala hili lilipelekwa kwà dharura bungeni ,...kutokana na KELELE zinazoendelea huku nje. Lilipelekwa kujadiliwa tu.
 
Embu peleka ukilaza wako huko
Kwahiyo Dp world tayari ni Mkataba? Unataka kusema tayari tumeisha yapitisha makubaliano na yameishakua Mkataba?


Huo Mkataba wa DP world upo wapi?
 
Kwahiyo Dp world tayari ni Mkataba? Unataka kusema tayari tumeisha yapitisha makubaliano na yameishakua Mkataba?


Huo Mkataba wa DP world upo wapi?

Ndio ule ni mkataba Mama .Na ndio maana ukapelekwa bungeni kuwa ratified
Itakayofatia itakuwa Mikataba midogo ambayo haitakiwi kuwa tofauti na mkataba mama
 
Ndugu yangu..., Hao jamaa ....KWANZA ;- walikua attacked spiritually....then wakawa tempted, and finally wakawa seduced......kwahiyo hata mkipiga KELELE za aina gani...wataendelea tu kufanya mambo yao ili kutimiza azma yao.

Kama Watanzania , ni vyema tukachukua hatua za haraka kuwa dhibiti.
Good thinking
 
Tundu Lissu yupo live now akiongelea makubaliano ya DP World. Yeye anayaita Mkataba.
 
Ndio ule ni mkataba Mama .Na ndio maana ukapelekwa bungeni kuwa ratified
Itakayofatia itakuwa Mikataba midogo ambayo haitakiwi kuwa tofauti na mkataba mama
Kwanini KUMBUKUMBU za mjadala huo zimefutwa?

 
Back
Top Bottom