Elimu: DP WORLD haina Mkataba wowote Tanzania

Kwani wewe hujui kwamba, siku hizi wasomi ndio wanaongoza kwĂ  kupotosha ili kulinda nyazifa zao, vyeo na familia zao?
Hapa 👆unatuambia kama Taifa tumepigwa kua na viongoz calibre ya wanaccm? Means piga ua lazima walinde matumbo yao kuliko maslahi ya Taifa!!
 
Elimu ya bure hii hapa;-

Kuna vitu vinne ambavyo ni muhimu vikaeleweka wazi.
1. Covenant ( Agano )
2. Agreement ( Makubalino )
3. Contract ( Mkataba)
4. Authority ( Mamlaka )

Siku zote AGANO lazima liendane na MKATABA, na pia MAKUBALINO lazima yandane na MAMLAKA. Vitu hivi hukaa viwiliviwili kama mapacha vile au kama "ntu na nkewe!"

Sasa basi, unajua kwanini Watanzania wanapiga kelele sana kuhusu Bandari yao Sababu ni kwamba hawa DP World wameingia Makubaliano na Tanzania, na tena Tanzania ikajifunga kwa kuwapa Mamlaka makubwa sana katika Ardhi yake.

Eh eh eh Sheeiiiilllaaaaa.....el-morondo paranqwine!!!??

Note 1: DP WORLD haijafanya Mkataba wowote na Tanzania. Kilichofanyika ni Makubaliano tu.

Note 2: Hakuna kitu Kibaya katika maisha kama Makubalino, kwa sababu kama yakikeukwa, basi wajibu na majukumu huwa vinasambaratika na kusababisha uvunjifu wa Amani.

Nimeandika kizalendo kabisa nikiwa hapa Kijijini Chamwino Ikulu.
Watu wakisha kula tende za mwarabu wanakuwaga na ufala sana
 
Hapa unatuambia kama Taifa tumepigwa kua na viongoz calibre ya wanaccm? Means piga ua lazima walinde matumbo yao kuliko maslahi ya Taifa!!
ACHA kuitaja sisiemu, utaharibu uzi. Nimeongelea viongozi ( baadhi/ sio wote ) .

ACHA kunitega kisiasa. DP World ni suala la KITAIFA...tuliongelee na kulizungumzia kizalendo.
 
Mimi kinachonisikitisha watu wanajadili kwa ujasiri kitu ambacho hawajakiona.

Wengi wanaosema mkataba hivi mkataba vile, hawajasoma hata sentensi moja kwenye huo mkataba. Niamini mimi Mkuu.
Ule sio Mkataba, bali ni MAKUBALIANO ( tena tayari yameishapigwa mpaka sahihi )
 
Watu wakisha kula tende za mwarabu wanakuwaga na ufala sana
Tende ni matunda matakatifu. Unaambiwa ukiwa unazila KILA siku mbili ..baada ya mwezi ..wanasema mtu huyo lazima awe na extra ordinary intelligent quotent

Mimi Mzee Kipusa, kwĂ  dhati ya moyo wangu...nadhani ..huenda labda wasomi wetu walipofika kule Dubai kwĂ  ajili ya kunegotiate hiyo deal ya Dp world...huenda, labda walipewa...ALUHAH pamoja na Shisha iliyochanganywa na bangi + mavi ya nguruwe.
 
Kama ni makubaliano, kwanini yalipelekwa Bungeni?....na kazi ya Bunge ni nini?
Ni upotoshaji tu Ndugu yangu. Hakuna kingine . Hakuna kitu hapo. Kiufupi , ukiwa mtulivu kabisa kabisa...ukasimama na kuitizama Ardhi ya Tanzania..kwĂ  umakini kabisa...na kama kweli wewe ni Mzalendo....wallah nakwambia...MACHOZI LAZIMA YATAKULENGA!!
 
SAHIHI KABISA........China watu kama hawa wananyongwa.
 
Ule sio Mkataba, bali ni MAKUBALIANO ( tena tayari yameishapigwa mpaka sahihi )
Bunge huwa halipelekewi kupisha makubaliano au agano,bali hupitisha mkataba kisha kisheria unakuwa na mamlaka katika nchi, kisha Rais hupata nafasi ya kusaini unatambulika rasmi.

Ndugu yangu sasa kama sio mkataba Bungeni ulipelekwa kufanya nn? na Rais anatia saini ili iweje?

Ok tuseme sasa mkataba utaandaliwa baadaye kwa hiyo utapelekwa tena Bungeni kupitishwa? Ulishaona wapi kitu cha namna hiyo,amukeni
 
Bunge huwa halipelekewi kupitisha makubaliano au agano,bali hupitisha mkataba kisha kisheria unakuwa na mamlaka katika nchi, kisha Rais hupata nafasi ya kusaini unatambulika rasmi.

Ndugu yangu sasa kama sio mkataba Bungeni ulipelekwa kufanya nn? na Rais anatia saini ili iweje?

Ok, tuseme sasa mkataba utaandaliwa baadaye kwa hiyo utapelekwa tena Bungeni kupitishwa? Ulishaona wapi kitu cha namna hiyo,amukeni
 
Elimu ya bure hii hapa;-

Kuna vitu vinne ambavyo ni muhimu vikaeleweka wazi.
1. Covenant ( Agano )
2. Agreement ( Makubalino )
3. Contract ( Mkataba)
4. Authority ( Mamlaka )

Siku zote AGANO lazima liendane na MKATABA, na pia MAKUBALINO lazima yandane na MAMLAKA. Vitu hivi hukaa viwiliviwili kama mapacha vile au kama "ntu na nkewe!"

Sasa basi, unajua kwanini Watanzania wanapiga kelele sana kuhusu Bandari yao Sababu ni kwamba hawa DP World wameingia Makubaliano na Tanzania, na tena Tanzania ikajifunga kwa kuwapa Mamlaka makubwa sana katika Ardhi yake.

Eh eh eh Sheeiiiilllaaaaa.....el-morondo paranqwine!!!??

Note 1: DP WORLD haijafanya Mkataba wowote na Tanzania. Kilichofanyika ni Makubaliano tu.

Note 2: Hakuna kitu Kibaya katika maisha kama Makubalino, kwa sababu kama yakikeukwa, basi wajibu na majukumu huwa vinasambaratika na kusababisha uvunjifu wa Amani.

Nimeandika kizalendo kabisa nikiwa hapa Kijijini Chamwino Ikulu.

Sawa, ila wewe mzalendo ujue:

- Unaakili kuliko 30 millions people.
 
Achana na Mkataba yaani mambo kama haya hata kama yapo kwenye fikra tu (yaani unafikiri madudu) basi mwisho wa siku yasiwe reality..., No matter the name.....

"A rose by any other name would smell as sweet"

Hivyo basi unless otherwise useme yanayosikika kitaa au yaliyopo kwenye ile karatasi ni uzushi lakini kama ni ukweli hayastahili hata kuwa kwenye Toilet Paper..., Hata kwenye fikra za mtu mwenye Uzalendo....., let alone kuyatamka hadharani.

Acha mali ya Taifa yaani hata kashamba ka ukoo ka urithi unakoachiwa kuwatunzia watakaokuja huwezi kuingia kwenye (Whatever the Name) inayosambaa mitandaoni
 
SAHIHI KABISA........China watu kama hawa wananyongwa.
Nafikiri, nafikiri....hatupaswi kuwa hukumu kichina....bali..2025 tujitahidi sana kuzitumia kura zetu vyema. Na endapo wataendelea kutulazimisha kufanya wanayoyataka...basi sote kwĂ  Umoja wetu tutakubaliana kupiga punyeto ( kujichukulia SHERIA mkononi ) ...LIWALO NA LIWE!!!!
 
Elimu ya bure hii hapa;-

Kuna vitu vinne ambavyo ni muhimu vikaeleweka wazi.
1. Covenant ( Agano )
2. Agreement ( Makubalino )
3. Contract ( Mkataba)
4. Authority ( Mamlaka )

Siku zote AGANO lazima liendane na MKATABA, na pia MAKUBALINO lazima yandane na MAMLAKA. Vitu hivi hukaa viwiliviwili kama mapacha vile au kama "ntu na nkewe!"

Sasa basi, unajua kwanini Watanzania wanapiga kelele sana kuhusu Bandari yao Sababu ni kwamba hawa DP World wameingia Makubaliano na Tanzania, na tena Tanzania ikajifunga kwa kuwapa Mamlaka makubwa sana katika Ardhi yake.

Eh eh eh Sheeiiiilllaaaaa.....el-morondo paranqwine!!!??

Note 1: DP WORLD haijafanya Mkataba wowote na Tanzania. Kilichofanyika ni Makubaliano tu.

Note 2: Hakuna kitu Kibaya katika maisha kama Makubalino, kwa sababu kama yakikeukwa, basi wajibu na majukumu huwa vinasambaratika na kusababisha uvunjifu wa Amani.

Nimeandika kizalendo kabisa nikiwa hapa Kijijini Chamwino Ikulu.
Hahahaaaaaaaaa KAZI ipo mwaka huu.
 
Bunge huwa halipelekewi kupisha makubaliano au agano,bali hupitisha mkataba kisha kisheria unakuwa na mamlaka katika nchi, kisha Rais hupata nafasi ya kusaini unatambulika rasmi.

Ndugu yangu sasa kama sio mkataba Bungeni ulipelekwa kufanya nn? na Rais anatia saini ili iweje?

Ok tuseme sasa mkataba utaandaliwa baadaye kwa hiyo utapelekwa tena Bungeni kupitishwa? Ulishaona wapi kitu cha namna hiyo,amukeni
Ndugu yangu....haya mambo hayakupaswa kwenda bungeni mapema hivi....yalienda kwasababu ya KELELE zilizokua zikipigwa nje. Wabunge walilichukua kama suala la dharura. Ndio maana likapelekwa kwenda kujadiliwa
 
Sawa, ila wewe mzalendo ujue:

- Unaakili kuliko 30 millions people.
Ukitumia akili hizi hapa TZ, lazima utaonekana kama Mwehu, Chizi, Kichaa au Mwendawazimu.

Hawachelewi kusema dish lako haliko Sawa.
 
Back
Top Bottom