MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,697
- 4,978
- Thread starter
- #101
Unadhani kwanini Bunge limefutilia mbali KUMBUKUMBU za mjadala wa kuhusu DP WORLD?Embu peleka ukilaza wako huko
Unadhani kwanini Bunge limefutilia mbali KUMBUKUMBU za mjadala wa kuhusu DP WORLD?Embu peleka ukilaza wako huko
Na wewe nikuulize,...je unadhani au unafikiri ni kwanini KUMBUKUMBU za mjadala wa kuhusu DP WORLD zimefutwa bungeni?Makubaliano ndo yanaenda Bungeni? mmmm muulize mwalimu wako tena akuangalizie majibu.
Jiulize kwanini KUMBUKUMBU za mjadala huo zimefutwa?Kama sio mkataba ulipelekwa bungeni kuwa ratified Kwa nini?
Ipo hivi. makubaliano ni vipengere muhimu vya mkataba. Jumla ya makubaliano ndio yanaleta mkataba kamili na sifa kuu ya hayo makubaliano hayakindhani au kupingana.MAKUBALIANO NA MKATABA NI MISAMIATI YA KISWAHILI AMBAYO NI LUGHA YA TAIFA. MKATABA NI MAKUBALIANO YA PANDE MBILI AU ZAIDI,YA JINSI YA KUENDESHA, KUTIMIZA, KUFANYA, KUKAMILISHA JAMBO FULANI WALIOKUBALIANA NALO. MAKUBALIANO HAYO YAWEZA KUWA YA AJIRA, NDOA,KUKODISHA MALI KAMA ARDHI, GARI, SHAMBA NK , KUPANGISHA NYUMBA NA VITU VINGINE VYA NAMNA HIYO. HIVYO MTU AKIKUULIZA KUWA, MFANO UNA MKATABA WA AJIRA. MAANA YAKE ANATAKA KUJUA NINI MMEKUBALIANA AU KUNA MAKUBALIANO GANI KATIKA AJIRA HIYO. KWA MAELEZO HAYO BASI MKATABA NA MAKUBALIANO NI KITU KILE KILE.