Prof. Kitila na Machawa, jibuni maswali haya mepesi kuhusu DP World

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
7,418
10,261
Tanzania ni nchi ya ajabu unakuta Pro wa chuo naye ni chawa badala ya kujibu hoja!. Kama huna jibu sema hujui sio kuuliza swali badala ya kujibu!

1. Mkataba wa DP World ni wa miaka mingapi? wa muda gani?

2. DP world inapataje mapato yake kwenye mkataba? Yaani ni tozo zipi na asilimia ngapi zinaenda kwa DP world

CCM kimeshakuwa Chama cha Madalali..., waondoe lile Jembe na Nyundo waweke nyundo ya Mnada...

1730493056873.png
 
Kinachoshangaza kuchelewa kwa meli kushasha konteina kuko palepale kuna meli ziliwasili tarehe 21/10/2024 leo tarehe 2/11/ bado hazijashusha mzigo yaani siku 10 toka meli iwasili haijapata nafasi ya kushusha, bado mtu anasimama kuwatetea hao DPW.
 
Hapo ndipo utaona kuwa elimu ya nchi hii ni bure kabisa.

Profesa anaongea pumba kuzidi pumba za Steve Mengele (kilaza wa darasa la 2).
Ndo maana wazazi mda mwingine ni bora kufuga NGURUWE Kuliko kusomesha mtoto, mtu anasoma apishana na maana ya elimu ni kumkomboa mtu, kuwa na critical thinking.

Huyo prof kifupi ni mpuuzi , na mwakani asahau UBUNGE Jimbo la ubungo.

Ndani ya chama hapiti, ikitokea kapita kwa wapiga kura hatochaguliwa!

Kila mtu Sasa kawa Mpumbavu, Idadi ya MAPUMBAVU Inaongezeka!!!

I short kitila ana ACCADEMIC ARROGANCE 🤣😃😃
 
Nina dhana inayo fafanua maana ya unyumbu wa kisiasa, nitakuwa nairudfia kuitambulisha kwa faida ya jamii kuweza kupata ufahamu kuhusu kuahirisha kufikiri

Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza, na kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi ama uoga kwa viongozi wao bila utii, (unafiki), tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo, a.k.a kujizima data.

CCM imetufikisha hapa kutokana na tabia hii ya unyumbu wa kisiasa inatumika na washika tonge, hawa washika tonge, wakigundua unataka kuwanyang'anya tonge wanakushughulika, (ostracism)

Human herding in politics-unyumbu wa kisiasa

Human herding in politics, is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering and working towards group objectives, or fear of their leaders, (hypocrite)

Politicians practice human herding in politics to remain in power, cemented with ostracism
 
Tanzania ni nchi ya ajabu unakuta Pro wa chuo naye ni chawa badala ya kujibu hoja!

1. Mkataba wa DP World ni wa miaka mingapi? wa muda gani?

2. DP world inapataje mapato yake kwenye mkataba? Yaani ni tozo zipi na asilimia ngapi zinaenda kwa DP world

Hizo ni siri za biashara uambiwe wewe kama nani kwenye hii biashara?
 
Nina dhana inayo fafanua maana ya unyumbu wa kisiasa, nitakuwa nairudfia kuitambulisha kwa faida ya jamii kuweza kupata ufahamu kuhusu kuahirisha kufikiri

Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza, na kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi ama uoga kwa viongozi wao bila utii, (unafiki), tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo, a.k.a kujizima data.

CCM imetufikisha hapa kutokana na tabia hii ya unyumbu wa kisiasa inatumika na washika tonge, hawa washika tonge, wakigundua unataka kuwanyang'anya tonge wanakushughulika, (ostracism)

Human herding in politics-unyumbu wa kisiasa

Human herding in politics, is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering and working towards group objectives, or fear of their leaders, (hypocrite)
UKO sahihi kabisa mkuu
 
Tanzania ni nchi ya ajabu unakuta Pro wa chuo naye ni chawa badala ya kujibu hoja!. Kama huna jibu sema hujui sio kuuliza swali badala ya kujibu!

1. Mkataba wa DP World ni wa miaka mingapi? wa muda gani?

2. DP world inapataje mapato yake kwenye mkataba? Yaani ni tozo zipi na asilimia ngapi zinaenda kwa DP world

Wewe nyumbu Achaga ujinga,wakati Serikali inajadiliana na DP World Hadi kusaini mkataba ulikuwa busy kuropoka na kueneza uzushi bila kufuatilia mantiki ya jambo lenyewe.

Sasa unaturudisha nyumba wakati tulishamaliza na Sasa tunakula matunda.👇👇
Screenshot_20241102-100406.jpg

Mwisho hapo bandarini Yuko pia Adani ila Mko busy na DP World kisa chuki binafsi Kwa mwaarabu.

Unfortunately biashara haihitaji chuki.
 
Back
Top Bottom