MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,706
- 4,923
Elimu ya bure hii hapa;-
Kuna vitu vinne ambavyo ni muhimu vikaeleweka wazi.
1. Covenant ( Agano )
2. Agreement ( Makubalino )
3. Contract ( Mkataba)
4. Authority ( Mamlaka )
Siku zote AGANO lazima liendane na MKATABA, na pia MAKUBALINO lazima yandane na MAMLAKA. Vitu hivi hukaa viwiliviwili kama mapacha vile au kama "ntu na nkewe!"
Sasa basi, unajua kwanini Watanzania wanapiga kelele sana kuhusu Bandari yao Sababu ni kwamba hawa DP World wameingia Makubaliano na Tanzania, na tena Tanzania ikajifunga kwa kuwapa Mamlaka makubwa sana katika Ardhi yake.
Eh eh eh Sheeiiiilllaaaaa.....el-morondo paranqwine!!!??
Note 1: DP WORLD haijafanya Mkataba wowote na Tanzania. Kilichofanyika ni Makubaliano tu.
Note 2: Hakuna kitu Kibaya katika maisha kama Makubalino, kwa sababu kama yakikeukwa, basi wajibu na majukumu huwa vinasambaratika na kusababisha uvunjifu wa Amani.
Nimeandika kizalendo kabisa nikiwa hapa Kijijini Chamwino Ikulu.