Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,827
We ni kajinga tu.
OkWe ni kajinga tu.
Mh naomba udadaivu zaidElimu ya bure hii hapa;-
Kuna vitu vinne ambavyo ni muhimu vikaeleweka wazi.
1. Covenant ( Agano )
2. Agreement ( Makubalino )
3. Contract ( Mkataba)
4. Authority ( Mamlaka )
Siku zote AGANO lazima liendane na MKATABA, na pia MAKUBALINO lazima yandane na MAMLAKA. Vitu hivi hukaa viwiliviwili kama mapacha vile au kama "ntu na nkewe!"
Sasa basi, unajua kwanini Watanzania wanapiga kelele sana kuhusu Bandari yao Sababu ni kwamba hawa DP World wameingia Makubaliano na Tanzania, na tena Tanzania ikajifunga kwa kuwapa Mamlaka makubwa sana katika Ardhi yake.
Eheh
eh
Sheeiiiilllaaaaa.....el-morondo paranqwine!!!??
Note 1: DP WORLD haijafanya Mkataba wowote na Tanzania. Kilichofanyika ni Makubaliano tu.
Note 2: Hakuna kitu Kibaya katika maisha kama Makubalino, kwa sababu kama yakikeukwa, basi wajibu na majukumu huwa vinasambaratika na kusababisha uvunjifu wa Amani.
Nimeandika kizalendo kabisa nikiwa hapa Kijijini Chamwino Ikulu.
Katika muktadha upi?Mh naomba udadaivu zaid
Ngo'mbe hazeeki mainiAchana na Vipusa umeshakuwa Zee wewe,,hupendezi kuwa na Utovu wa Nidhamu kiasi hiko!!Jirekebishe Sawa Zee!!!###NyokoMbiliWewe###
I am always in a full facts moodopinion or fact ?

Na huu ndio ukweliElimu ya bure hii hapa;-
Kuna vitu vinne ambavyo ni muhimu vikaeleweka wazi.
1. Covenant ( Agano )
2. Agreement ( Makubalino )
3. Contract ( Mkataba)
4. Authority ( Mamlaka )
Siku zote AGANO lazima liendane na MKATABA, na pia MAKUBALINO lazima yandane na MAMLAKA. Vitu hivi hukaa viwiliviwili kama mapacha vile au kama "ntu na nkewe!"
Sasa basi, unajua kwanini Watanzania wanapiga kelele sana kuhusu Bandari yao Sababu ni kwamba hawa DP World wameingia Makubaliano na Tanzania, na tena Tanzania ikajifunga kwa kuwapa Mamlaka makubwa sana katika Ardhi yake.
Eheh
eh
Sheeiiiilllaaaaa.....el-morondo paranqwine!!!??
Note 1: DP WORLD haijafanya Mkataba wowote na Tanzania. Kilichofanyika ni Makubaliano tu.
Note 2: Hakuna kitu Kibaya katika maisha kama Makubalino, kwa sababu kama yakikeukwa, basi wajibu na majukumu huwa vinasambaratika na kusababisha uvunjifu wa Amani.
Nimeandika kizalendo kabisa nikiwa hapa Kijijini Chamwino Ikulu.
Sio kweli Ndugu. Rudi darasani. Tofauti ipo kubwa sana.MAKUBALIANO NA MKATABA NI MISAMIATI YA KISWAHILI AMBAYO NI LUGHA YA TAIFA. MKATABA NI MAKUBALIANO YA PANDE MBILI AU ZAIDI,YA JINSI YA KUENDESHA, KUTIMIZA, KUFANYA, KUKAMILISHA JAMBO FULANI WALIOKUBALIANA NALO. MAKUBALIANO HAYO YAWEZA KUWA YA AJIRA, NDOA,KUKODISHA MALI KAMA ARDHI, GARI, SHAMBA NK , KUPANGISHA NYUMBA NA VITU VINGINE VYA NAMNA HIYO. HIVYO MTU AKIKUULIZA KUWA, MFANO UNA MKATABA WA AJIRA. MAANA YAKE ANATAKA KUJUA NINI MMEKUBALIANA AU KUNA MAKUBALIANO GANI KATIKA AJIRA HIYO. KWA MAELEZO HAYO BASI MKATABA NA MAKUBALIANO NI KITU KILE KILE.
Asante kwà kunielewa.Na huu ndio ukweli
.Sawa chawa ma mother
Hayo makubaliano hatuyataki ni ya kiwizi wizi...sisi Mln 60 hatuwezi simamiwa na Akina Mangungo wawili tu kwa sababu ya Matumbo yao.Umeelewa sasa?
Maana Mimi nasikia tu....Mkataba...mara ooh MAKUBALIANO....yaani watu wanaongea ongea tu ...hata havieleweki. Ni wachache sana wanaopatia ...
Sisi tumeingia MAKUBALIANO. Hatuna Mkataba na hao jamaa! Ova
Tatizo lipo kwà wasomi wetu ( hasa Wana SHERIA) ....., Wamechukua advantage ya kuyafanya matatizo yaliyopo pale Bandarini kama Biashara.Hayo makubaliano hatuyataki ni ya kiwizi wizi...sisi Mln 60 hatuwezi simamiwa na Akina Mangungo wawili tu kwa sababu ya Matumbo yao.
Swali fikirishi Nini kimewasukuma kuboresha sheria zinazo husu mali asili za Tanzania kipindi hiki cha 'DPWORLD crisis'Elimu ya bure hii hapa;-
Kuna vitu vinne ambavyo ni muhimu vikaeleweka wazi.
1. Covenant ( Agano )
2. Agreement ( Makubalino )
3. Contract ( Mkataba)
4. Authority ( Mamlaka )
Siku zote AGANO lazima liendane na MKATABA, na pia MAKUBALINO lazima yandane na MAMLAKA. Vitu hivi hukaa viwiliviwili kama mapacha vile au kama "ntu na nkewe!"
Sasa basi, unajua kwanini Watanzania wanapiga kelele sana kuhusu Bandari yao Sababu ni kwamba hawa DP World wameingia Makubaliano na Tanzania, na tena Tanzania ikajifunga kwa kuwapa Mamlaka makubwa sana katika Ardhi yake.
Eheh
eh
Sheeiiiilllaaaaa.....el-morondo paranqwine!!!??
Note 1: DP WORLD haijafanya Mkataba wowote na Tanzania. Kilichofanyika ni Makubaliano tu.
Note 2: Hakuna kitu Kibaya katika maisha kama Makubalino, kwa sababu kama yakikeukwa, basi wajibu na majukumu huwa vinasambaratika na kusababisha uvunjifu wa Amani.
Nimeandika kizalendo kabisa nikiwa hapa Kijijini Chamwino Ikulu.
Ayao Maagano na makubalianoKatika muktadha upi?
Ndugu yangu..., Hao jamaa ....KWANZA ;- walikua attacked spiritually....then wakawa tempted, and finally wakawa seduced......kwahiyo hata mkipiga KELELE za aina gani...wataendelea tu kufanya mambo yao ili kutimiza azma yao.Swali fikirishi Nini kimewasukuma kuboresha sheria zinazo husu mali asili za Tanzania kipindi hiki cha 'DPWORLD crisis'