Achana na Mkataba yaani mambo kama haya hata kama yapo kwenye fikra tu (yaani unafikiri madudu) basi mwisho wa siku yasiwe reality..., No matter the name.....
"A rose by any other name would smell as sweet"
Hivyo basi unless otherwise useme yanayosikika kitaa au yaliyopo kwenye ile karatasi ni uzushi lakini kama ni ukweli hayastahili hata kuwa kwenye Toilet Paper..., Hata kwenye fikra za mtu mwenye Uzalendo....., let alone kuyatamka hadharani.
Acha mali ya Taifa yaani hata kashamba ka ukoo ka urithi unakoachiwa kuwatunzia watakaokuja huwezi kuingia kwenye (Whatever the Name) inayosambaa mitandaoni