HII si kweli nilimsikia MAGUFULI mm mwenyewe akisema pesa wamepelekewa kila shule zaid ya 1b kwa 3months
akatoa na onyo "ole wake yeye ataetumia vibaya"
Maendeleo yanakujaje ya elimu? Bilioni 18 kwa mweZi hazitoshi? Au unataka wazazi kazi yao iwe kuzaa tu haya chupi hawawanunilii watoto wao?Basi shule zitakuwa na UKATA sana, mkuu acha povu, maendeleo ya elimu hayaji kama unavyofikiria...
Bajeti yake ni bilioni 18.7 kwa shule zote za msingi na sekondati we naye unasema bilioni 1@shule??? Ina maana kuna shule 18 tu??HII si kweli nilimsikia MAGUFULI mm mwenyewe akisema pesa wamepelekewa kila shule zaid ya 1b kwa 3months
akatoa na onyo "ole wake yeye ataetumia vibaya"
We ndio unakurupuka maana nakuambia ukweli na uhalisia wa jambo we unahisi sio kweli tafuta wakuu wa shule hata zaidi ya watano watakuambia fedha walizopewa na hawatakuficha maana sio siri.Wee ni mkurupukaji! Nina uhakika kuna vitu huvijui. Kwa akili zako unaona hiyo pesa uloweka hapo juu inawezekana?? NI LAZIMA UMEKURUPUKA.
Bajeti yake ni bilioni 18.7 kwa shule zote za msingi na sekondati we naye unasema bilioni 1@shule??? Ina maana kuna shule 18 tu??
Huu ni mtazamo wako kumbuka kuna wakati kupitia wazir serikali imesema hata uniform wanafunz wasivae waende shule ivyoivyo.Michango haijafutwa! Serikali inalipia sehemu tu ya pesa zilizokuwazinasumbua hapo mwanzo. by Simbachawene.
Ndugu wana jamvi,
Nimeshangaa sana badala ya kuona kiasi cha fedha ambacho moja ya shule ya msingi iliyoko mkoa wa Pwani imepewa kwa ajili ya elimu bure.Shule hii ina wanafunzi 1120 na imepewa 447000tsh. Hii ni kwamba kila mwanafunzi amepewa shilingi 399.
Najaribu kuangalia mahitaji ya shule ikiwemo kulipa walinzi, kununua chalk, kununua karatasi pamoja na vifaa vingine muhimu shuleni naona kuwa fedha hizi hazitoshi hata kidogo. Hazitoshi kuendesha shule hata kwa week mbili.
Naiona elimu ya Tanzania ikididimia na ubora ukishuka zaidi.
Duc in Altum

You need to be patient! Tatizo letu watanzania tunapenda mambo mazuri instantly! huo ni mwanzo tu kadiri siku zinavyo sogea kutakuwa na maboresho.kila mhusika ataona kwa hakika fedha hizi hazitoshi na hivyo umuhimu wa kuongeza kujitokeza.sasa wengi wa wakuu wa shule na walimu wakuu wanaanza kulalamika pesa haitoshi! kaa chini fanyakazi na uisaidie serikali yako namna bora ya kutoa elimu bora.kuna vitu kama pesa ya mlinzi, kulipia maji, pia kuna ile wanapewa walimu kufundisha baada ya mda wa kawaida, sidhani kama walimu
watakubali kufundisha bure huo mda wa ziada...
pia kuna ishu ya uniform, michango ilikuwa inakusanywa alafu wanashonea shuleni (najua walimu nao walikuwa wanapiga) ila faida
yake ni kuwa nguo zote zinashonwa kwa mtindo mmoja... sipati picha kwa hiki kizazi chetu kila mwanafunzi akashone sare mwenyewe
hali inaweza ikawa mbaya zaidi