WabongooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooNdugu wana jamvi,
Nimeshangaa sana badala ya kuona kiasi cha fedha ambacho moja ya shule ya msingi iliyoko mkoa wa pwani imepewa kwa ajili ya elimu bure. Shule hii ina wanafunzi 1120 na imepewa 447000tsh. Hii ni kwamba kila mwanafunzi amepewa shilingi 399. Najaribu kuangalia mahitaji ya shule ikiwemo kulipa walinzi, kununua chalk, kununua karatasi pamoja na vifaa vingine muhimu shuleni naona kuwa fedha hizi hazitoshi hata kidogo. Hazitoshi kuendesha shule hata kwa week mbili. Naiona elimu ya Tanzania ikididimia na ubora ukishuka zaidi.
Duc in Altum
HII si kweli nilimsikia MAGUFULI mm mwenyewe akisema pesa wamepelekewa kila shule zaid ya 1b kwa 3months
akatoa na onyo "ole wake yeye ataetumia vibaya"
Zimepelekwa bilion 15.7 kwa shule zote Tanzania za seconday na msingi so huo ndio mgao shule hii imepewa. Zipo shule zimepata chini ya laki mbili. Na ikumbukwe fedha hizo sio siri maana wamesema document zibandikwe kwenye mbao za matangazo.HII si kweli nilimsikia MAGUFULI mm mwenyewe akisema pesa wamepelekewa kila shule zaid ya 1b kwa 3months
akatoa na onyo "ole wake yeye ataetumia vibaya"
Elimu bure haiwezi kuwa bora. Tujiongeze
Mtoa mada amekurupuka, hiyo hela ni kila mweziKwani rais alisema hapo ndiyo mwisho hawapewi zingine , Alisha sema kila mwezi shule zitakuwa zinapewa fedha
Ni fungu la miezi mitatu na ukweli ndio huo!!!Mtoa mada amekurupuka, hiyo hela ni kila mwezi
Mkuu sidhani kama hesabu zako ziko sahihi, kila shule I billion for 3 months kwa nchi nzima ni pesa nyingi sasa uwezo wetu hauruhusuHII si kweli nilimsikia MAGUFULI mm mwenyewe akisema pesa wamepelekewa kila shule zaid ya 1b kwa 3months
akatoa na onyo "ole wake yeye ataetumia vibaya"
Gazeti la mwananchi wameripoti Leo kuwa shule za sekondari iliyopata hela nyingi imepata 5m kihonda sec na iliyopata hela kidogo imepata 580k ambayo ni BungodimweHII si kweli nilimsikia MAGUFULI mm mwenyewe akisema pesa wamepelekewa kila shule zaid ya 1b kwa 3months
akatoa na onyo "ole wake yeye ataetumia vibaya"
Shule iliyopata laki tano INA maana kwa mwaka ni 6m unaona nyingi hiyo eeehKwani rais alisema hapo ndiyo mwisho hawapewi zingine , Alisha sema kila mwezi shule zitakuwa zinapewa fedha